Lyrics

Kwanza mi si mpenzi wa mitandao
Ila nikasema ngoja nifate trend zao
Nikaenda tiktok nyumbani kwao
Si ndo nikakuta live live zipo kibao
(Watotooo)
 Si ndo nikakuta wadada
Wanatingisha mabodi
Na hawatingishi
Kama hujatuma zawadi
Kumbe ndo wanakopatia
Pesa za kodi
Nyie tiktok inaleta midadi
 Huku tiktok huku
Ni vituko tu
Kuonana leo
Kujuana leo
Na mifilimbo juu
Siyo vitoto tu
Vijana na vibabu juu
Kuonana leo
Na kunyonga leo
Ninkawaida tu
Kuna malevo tiktok malevo
Ukituma sana gift unapanda levo
Na kuna warembo tiktok warembo
Ndo wanaofilisi vidume watembo
Ukinitaka ukinimiss
Utanikuta tiktok
Nashangaa shangaa
Nang’aa macho tu
Tiktok
Kuna matipwa tipwa
Na vimbao mbao
Tiktok
Wenye akili na wenye kubwabwaja
Huko tiktok
Wadada wa tiktok tikok tiktok
Wazuri warembo
Siyo mashauzi kama wa snap
Wanatokea mabibo
Manzese tipop
Yani mboga flan za uswazi
Ila zina shape
Wamejaliwa sura,chura
Viuno flani ifinye ndani utaniua
Utaanza kula au utakula
Videge john maji mara moja
Huku bara
Unajua tiktok hatari
Wauni wote tunapara raha
Mambo hadharani
Huku hakunaga kushangaa
Ulikuwa wapi
Siku zote unakesha bar
Njoo tiktok
Kuna visanga balaa
Huyu katingisha wowowo
Yule kapanda ndyege
Yule kaopoa bwana
Yule kapata bebe
Haya nioneshe unavyoitafuna
Kama boll con
Ikianguka anaiokota
Anaifinyia kwapani
Niacheni nimwage radhi
Anayenijua nani?
Jifanye unajiona mimi
Kumbe we shetani
Hayaa shetani amepanda
Maumimuna amepanda
Makata amepanda
Subiani amepana
We Kiti amepanda
Jaman amepanda
Na pressure imepanda
Tindende ndende aaahhaaha
Ukinitaka ukinimiss
Utanikuta tiktok
Nashangaa shangaa
Nang’aa macho tu
Tiktok
Kuna matipwa tipwa
Na vimbao mbao
Tiktok
Wenye akili na wenye kubwabwaja
Huko tiktok
Ohooooooo
Tapa tap screen
Share live
Share live
 
Tuma gift
Tuma gift
Tuma gift mwanangu
Tuma gift
Boss nakuona
Tuma gift
Boss nakuona
Tuma gift
Written by: Frank Ngumbuchi Felix
instagramSharePathic_arrow_out