Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mercylinah
Mercylinah
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mercy Linah
Mercy Linah
Songwriter

Lyrics

Ewe mungu wa miungu, ume tukuka,
Muumbaji wa vyote duniani na mbingu, Tunaa kuinamiya x2
Wa ajabu wewe wa ajabu x2
Mfalme wa wafalme, Mwenye enzi tunakuabudu
Utukufu na heshima, kwako eeh we mungu,
Pia nguvu na shukrani, kwako ewe mungu x2
Wa ajabu wewe wa ajabu x2
Mfalme wa wafalme, Mwenye enzi tunakuabudu
Mtakatifu mwaminifu, Tunakuinamia,
El-shaddai... Adonai..., Alfa na Omega x2
Wa ajabu wewe wa ajabu x2
Mfalme wa wafalme, Mwenye enzi tunakuabudu
Written by: Mercy Linah
instagramSharePathic_arrow_out