Music Video

EUNICE NJERI - UNATOSHA {OFFICIAL VIDEO}
Watch EUNICE NJERI - UNATOSHA {OFFICIAL VIDEO} on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Eunice Njeri
Eunice Njeri
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Eunice Njeri
Eunice Njeri
Songwriter
Eunice Njeri Mathenge
Eunice Njeri Mathenge
Songwriter

Lyrics

(Nimeubeba msaraba wangu nikufuate wewe uliyenipenda nimeitua mizigo yangu kwako nakufuata wewe unayenipenda)×2
Unatosha... wanitosha... Mungu wa agano wewe wanitosha)×2
Nasalimu amri yako eeh Baba sauti yako nimeisikia.umenivuta Bwana karibu nawe karibu zaidi natamani niwe)×2
×2
Moyo wangu u sawa sioni hofu wanitosheleza wanitoshaa mwingine mie sina wewe wanitosha wanitosha wanitosha
×2
Written by: Eunice Njeri, Eunice Njeri Mathenge
instagramSharePathic_arrow_out