Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Evelyn Wanjiru
Evelyn Wanjiru
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Evelyn Wanjiru
Evelyn Wanjiru
Songwriter

Lyrics

Waweza, waweza, waweza Mwokozi, waweza mambo yote, wewe mwaminifu
Bwana Mungu wangu wee umenikomboa ee, umeniwezesha mimi, wewe ni mkuu
Ukaniita Kwa jina langu ee ukaniwezesha Bwana ee, nikuabudu Bwana nikuimbie
Nilipokuwa kwenye dhambi, ukanionyesha mwanga-mwanga, wewe ni mwanga wangu Bwana, wewe ni mkuu
Waweza, waweza, waweza Mwokozi, waweza mambo yote, wewe mwaminifu
Waweza, waweza, waweza Mwokozi, waweza mambo yote, wewe mwaminifu
Bwana mungu wangu ee, wewe ulimsaidia Ayubu, alipokuwa na shida nyingi, Bwana ulikuwa naye
Neno lako linasema, unazo fedha ee, zote ni zako Bwana, wewe ni muweza
Waweza, waweza, waweza Mwokozi, waweza mambo yote, wewe mwaminifu
Waweza, waweza, waweza Mwokozi, waweza mambo yote, wewe mwaminifu
Wakati ninazo shida na magonjwa, Bwana unasema tuliite jina lako
Wewe ndiye muweza, wewe ndiye mwenye nguvu, wewe ni kimbilio Baba, waweza mambo yote
Waweza, waweza, waweza Mwokozi, waweza mambo yote, wewe mwaminifu
Waweza, waweza, waweza Mwokozi, waweza mambo yote, wewe mwaminifu
Waweza, waweza, waweza Mwokozi, waweza mambo yote, wewe mwaminifu
Unaweza, naweza, unaweza, Baba unaweza
Unaweza, naweza, unaweza, Baba unaweza
Unaweza, naweza, unaweza, Baba unaweza
Unaweza, naweza, unaweza, Baba unaweza
Unaweza, naweza, unaweza, Baba unaweza
Unaweza, naweza, unaweza
Written by: Evelyn Wanjiru
instagramSharePathic_arrow_out