Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Kambua
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Pastor Tumaini
Songwriter
Kambua Mathu
Songwriter
Lyrics
Kujeni niwakumbushe
Uaminifu wake haubadiliki
Kujeni niwakumbushe
Uaminifu wake haubadiliki
Na agano lake, halivunjiki milele x2
Bwana aliahidi, atakutangulia, atakuwa na wewe
Hatakupungukia, wala kukuwacha yeye, usikate tamaa
Upitapo katika maji mengi, atakuwa na wewe
Katika mito hutazama, na kwenye moto hutateketea x2
Kujeni niwakumbushe
Uaminifu wake haubadiliki
Kujeni niwakumbushe
Uaminifu wake haubadiliki
Na agano lake, halivunjiki milele x2
Wakati mwingine huruhusu, tupitie moto mkali
Saa zingine Mungu huruhusu tupitie mambo mazito
Ili aufundishe moto, kwamba sio kila kitu huchomeka
Ili aufundishe moto adabu, kwamba si kila kitu huchomeka
Ameahidi yuko nawewe hadi mwisho wa safari
Chorus
Kujeni niwakumbushe
Uaminifu wake haubadiliki
Kujeni niwakumbushe
Uaminifu wake haubadiliki
Na agano lake, halivunjiki milele x2
Written by: Kambua Mathu, Pastor Tumaini