Featured In

Lyrics

[Verse 1]
Nimeliguza vazi lako Elohim
Nayo maisha yangu ukayabadilisha
Nimekujua Hosonna
Tena kanipa uhai bila kulipa
[Verse 2]
Mie nitaubeba mzigo wako Rabii
Kwa kuwa mzigo wako ni mwepesi sana
Nira yako ni laini eeh Masiya
Natamani nifanane nawe siku zote
[Chorus]
Wewe ndiye Mungu hubadiliki
Rohi Baba yangu nakuabudu
Uaminifu wako hauna kipimo
Nayo matendo yako ninayajua
[Verse 3]
Nilikuwa mtoto sasa mi ni mzee
Sijaona siku moja umenitenga
Nisi wanilinda kama mboni lako
Hesabu ya nywele zangu waielewa
[Chorus]
Wewe ndiye Mungu hubadiliki
Rohi Baba yangu nakuabudu
Uaminifu wako hauna kipimo
Nayo matendo yako ninayajua
[Verse 4]
Sasa Ebeneza, jibu langu
Pumzi uhai wangu tegemeo langu
Huna mwisho wala huna mwanzo Yahweh
Natamani nifanane nawe siku zote
[Chorus]
Wewe ndiye Mungu hubadiliki
Rohi Baba yangu nakuabudu
Uaminifu wako hauna kipimo
Nayo matendo yako ninayajua
[Chorus]
Wewe ndiye Mungu hubadiliki
Rohi Baba yangu nakuabudu
Uaminifu wako hauna kipimo
Nayo matendo yako ninayajua
[Chorus]
Wewe ndiye Mungu hubadiliki
Rohi Baba yangu nakuabudu
Uaminifu wako hauna kipimo
Nayo matendo yako ninayajua
[Chorus]
Wewe ndiye Mungu hubadiliki
Rohi Baba yangu nakuabudu
Uaminifu wako hauna kipimo
Nayo matendo yako ninayajua
Written by: RR
instagramSharePathic_arrow_out