Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Ali Mukhwana
Ali Mukhwana
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Ali Mukhwana
Ali Mukhwana
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Ali Mukhwana
Ali Mukhwana
Producer
Allan Mayindo
Allan Mayindo
Producer

Lyrics

[Intro]
Usinipite mwokozi unisikiee
Unapozuru wengine usinipite
[Verse 1]
Usinipite mwokozi unisikiee Bwana
Unapozuru wengine Baba aah usinipite
Usinipite mwokozi unisikiee Bwana
Unapozuru wengine Baba aah usinipite, naomba
[Chorus]
Yeesu unisikie
Unapozuru wengine, usinipite
Yeesu unisikie
Unapozuru wengine, usinipite
[Verse 2]
Baba yangu o ninakupenda sana haa
Nani mwengine kama wewe
Ninakupenda, ninakupenda Baba haa, usinipite Bwana
Wewe ndiwe njia ya uzima, nani mwenhgine kama wewe
Bila wewe Baba siwezi kamwe ooh, naomba Baba, naomba Bwana
[Chorus]
Yeesu unisikie
Unapozuru wengine, usinipite
Yeesu unisikie
Unapozuru wengine, usinipite
[Verse 3]
Kiti chako cha rehema Bwana aah nakitazamia mie
Magoti napiga mbele zako Baba aah, usinipite Bwana
Kiti chako cha rehema nakitazamia mie
Magoti napiga mbele zako Baba aah, usinipite Bwana, naomba aah
[Chorus]
Yeesu unisikie
Unapozuru wengine, usinipite
Yeesu unisikie
Unapozuru wengine, usinipite
[Chorus]
Yeesu unisikie
Unapozuru wengine, usinipite
Yeesu unisikie
Unapozuru wengine, usinipite
[Chorus]
Yeesu unisikie
Unapozuru wengine, usinipite
Yeesu unisikie
Unapozuru wengine, usinipite
Written by: Ali Mukhwana
instagramSharePathic_arrow_out