Top Songs By Otile Brown
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Otile Brown
Lead Vocals
PRODUCTION & ENGINEERING
Otile Brown
Producer
Lyrics
Yeah, tahitaji zaidi ya maneno kushawishi moyo
Yalivyo nitenda mapenzi, kuyakurupukia tena siwezi
Kidogo initoe uhai, usione nakuringia, nayaogopa mapenzi
Mapenzi hayajakamilika, mapenzi ni maridhiano, imani na nia, mapenzi ni mawasiliano
Nami na maswali mengi kwako, kilicho kutenganisha na Ex wako
Usiseme unanipenda na haujamaanisha
Hivi, umenipendea nini?, sema umenipendea nini?, sema basi umenipendea nini?, sema umenipendea nini?
Ihaji Made It
Ah, na sio sina mapenzi, ila mapenzi yalinitia kiburi
Yalicho nitenda enzi hizo
Maana wengi niliwapa mapenzi
Baada ya penzi, nikavuna uadui
Naogopa mwisho vilio
Mapenzi hayajakamilika, mapenzi ni maridhiano (Ni maridhiano)
Imani na nia, mapenzi ni mawasiliano
Ila mi na maswali mengi kwako, kilicho kutenganisha na Ex wako
Na kama wanipenda na haujamaanisha
Hivi, umenipendea nini?, sema umenipendea nini?, sema basi umenipendea nini?, oh, love
Niambie umenipendea nini?
Nini umenipendea?
Written by: Otile Brown