Lyrics

Ricco Beats Mr 808
Dating (Ayy)
Kanairo (Wewe)
Blunder (Ayy)
We' hmm
Dating (Dating)
Kanairo (Kanairo)
Blunder (Blunder)
We' (Ayy, huh)
Uh, mtoto wa Khadija *laughter*
We' we'
Uh, nilienda date wacha tu (We')
Na manzi psycho, fyatu (Ayy)
Kadem kalikuwa kanasumbua
Nikajua haka kadem siku moja kataniua
Nikapata mwingine mali safi (Uh)
Lakini alikuwa na baby daddy
Mtoto wake akaanza kuniita "Daddy"
Baby daddy tulishikana mashati
Nikapata mwingine ana mahaga (Ayy)
Alikuja kejani kuchapana (We')
Huyo dem alikuwa anashtua
Tukimake love alikuwa anabonda sura (Ayy)
Nimetafuta kila chuom
Nimetafuta kila rima
Natafta mdenge, haha wewe
Nimetafuta kila chuom (Chuom)
Nimetafuta kila rima (We')
Natafta mdenge (Ayy)
Kanairo dating, blunder
Nilienda date risky, we'
Dem alikuwa analewa whiskey (Ayy)
Kidogo akaanza kuniita "Baby"
Baby? Umenijua two hours
Huyu naye manze hapendi vako zangu
Anataka nichoree mamorio wangu
Anataka nichoree ongwelo yangu
Ni aende, heri nibaki peke yangu
Huyu naye akiskia sauti ya madem (Ayy)
Ni ashinde akisema "Sema I love you"
Eh "Sema I love you naskia madem hapo"
"Sema I love you" (Ayy)
Nimetafuta kila chuom
Nimetafuta kila rima haha
Natafta mdenge, haha wewe
Nimetafuta kila chuom (Chuom)
Nimetafuta kila rima (Ayy)
Natafta mdenge
Kanairo dating, blunder
Mara ya mwisho mi kwenda date (Ayy)
Dem alinishow, "I have a lot of girlfriends"
Kidogo ma-hug ma-hug, akiona chali, ma-hug haiwezi
Mi nataka peng ka mimi, anapenda reggae ka mimi
Anapenda genge ka mimi, simple living ka mimi
Mi nataka tu mdenge, ule ataniride ka senke
Ka unafikiria ni wewe, ni DM IG, Mejja Genge
Nimetafuta kila chuom
Nimetafuta kila rima
Natafta mdenge, haha kanairo dating blunder!
Noma jo
Written by: Major Nameye Khadija
instagramSharePathic_arrow_out