Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Rose Muhando
Rose Muhando
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Rose Muhando
Rose Muhando
Songwriter

Lyrics

Naona kama maono, kumbe ndivyo ulivyo Mungu
Naona kama maono, kumbe ndivyo ulivyo ooh
Nilidhani kama ndoto, kumbe ndivyo ulivyo Baba
Nilifikiri nachanganyikiwa kwa kusema hivi kumbe ndivyo ulivyo
Umekuwa mpole, umekuwa mwenye huruma, kumbe ndivyo ulivyo
Si mwepesi wa hasira, Baba ni mwingi wa rehema, ndivo ulivyo ooh
Wewe unatuwazia mema kuliko tunavyodhania, ndivo ulivyo ooh
Mawazo yako hayafanani na mawazo ya wanadamu Baba ndivo ulivyo
Nani kama wewe mwepesi wakusamehe ndivo ulivyo
Wema wako hauneneki katikati ya wanadamu Jehovah, wewe ndivyo ulivyo ooh
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo ooh, ndivyo ulivyo hakuna kupinga
Ndivyoo ulivyo, ndivyo ulivyo ooh, ndivo ulivyo hakuna kupinga
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo ooh, ndivo ulivyo hakuna kupinga

Tulia kwa Mungu, hushuka na kutufariji, Baba kumbe ndivyo ulivyo
Usiku na mchana hulali husinzii, Mungu uliye hai, ndivyo ulivyo ooh
Pale tusipoweza wenyewe kutenda kwa kimono yetu Jehovah, ndivyo uliyo
Huingilia yale yote tunayoshindwa wewe ndivyo ulivyo
Msaada wakati tunapochoka, Yehoova ndivyo ulivyo
Ndivyoo ulivyo, ndivyo ulivyo ooh, ndivyo ulivyo hakuna kupinga
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo ooh, ndivyo ulivyo hakuna kupinga
Ndivyoo ulivyo, ndivyo ulivyo ooh, ndivyo ulivyo hakuna kupinga
Ndivyoo ulivyo, ndivyo ulivyo ooh, ndivyo ulivyo hakuna kupinga
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo ooh, ndivyo ulivyo hakuna kupinga
Ndivyoo ulivyo, ndivyo ulivyo ooh, ndivyo ulivyo hakuna kupinga
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo ooh, ndivyo ulivyo hakuna kupinga
Mungu uliwakusanya walioachwa ukawakumbatia, Baba ndivyo ulivyo
Waliokosa matumaini uweka matumaini jipya kwao, ndivyo ulivyo
Waliokata tamaa Yesu, wewe unawatia nguvu, Baba ndivyo ulivyoo
Vile nionavyo mimi, si kama wewe utazamavyo Baba, kumbe ndivyo ulivyo
Huruma zako, zimevuka vilindi vya bahari, Mungui wee ndivyo ulivyo hakuna kupinga
Ndivyoo ulivyo, ndivyo ulivyo ooh, ndivo ulivyo hakuna kupinga
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo ooh, ndivo ulivyo hakuna kupinga
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo ooh, ndivyo ulivyo hakuna kupinga
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo ooh, ndivyo ulivyo hakuna kupinga
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo ooh, ndivyo ulivyo hakuna kupinga
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo ooh, ndivyo ulivyo hakuna kupinga
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo ooh, ndivyo ulivyo hakuna kupinga
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo ooh, ndivyo ulivyo hakuna kupinga
Ndivyo ulivyo
Written by: Rose Muhando
instagramSharePathic_arrow_out