Lyrics

[Verse 1]
Yah yah
Ah ha ha ha ha, Jeshi
(Imma in the beat) Yeah
[Verse 2]
Wakati wanahanya kugombea kiti
Wanadanganyana na viewers wa ku-cheat
Mie jicho lipo nyanya nilishakula kijiti
Na magoma yakipigwa huko club mtiti
[Verse 3]
Ninachojua masela huko mtaani kuna dhiki
Ndo maana sitingishi hela, wala ninavyovimiliki
Mafumbo andika kwa dela, watu wanataka muziki
Mara kumi mwanangu wa sindelela, yeye hapendagi makiki oh na, na-na
[Verse 4]
Huu muziki nauweza
Nauweza kuuimba na kucheza
Ona unavyonipendeza
Hadi majirani wameanza kunigeza (Uhg)
Huu muziki nauweza
Nauweza kuuimba na kucheza
Ona unavyonipendeza
Hadi majirani wameanza kunigeza
[Verse 5]
I'm your teacher, teacher Konde
Teacher, teacher Konde
I'm your teacher, teacher Konde
Teacher, teacher Konde
[Verse 6]
Huu muziki nauweza
Nauweza kuuimba na kucheza
Ona unavyonipendeza
Hadi majirani wameanza kunigeza (Uhg)
Huu muziki nauweza
Nauweza kuuimba na kucheza
Ona unavyonipendeza
Hadi majirani wameanza kunigeza
[Verse 7]
Ninachojua masela huko mtaani kuna dhiki
Ndo maana sitingishi hela wala ninavyovimiliki
Mafumbo andika kwa dela watu wanataka muziki
Mara kumi mwanangu wa sindelela yeye hapendagi makiki oh na, na-na
[Verse 8]
Huu muziki nauweza
Nauweza kuuimba na kucheza
Ona unavyonipendeza
Hadi majirani wameanza kunigeza (Uhg)
Huu muziki nauweza
Nauweza kuuimba na kucheza
Ona unavyonipendeza
Hadi majirani wameanza kunigeza
[Verse 9]
I'm your teacher, teacher Konde
Teacher, teacher Konde
I'm your teacher, teacher Konde
Teacher, teacher Konde
[Verse 10]
Naika kupoteka, karipambilile, eh
Mwaka nakutayonja, nakutayonji
Navanta na mwi makonde
Vanemba, Newala
Hadi ku-Tandahimba
Naika kupoteka, karipambilile
[Verse 11]
Teacher, teacher Konde
Teacher, teacher Konde
I'm your teacher, teacher Konde
Teacher, teacher Konde
(Safi, safi sana)
Written by: Harmonize
instagramSharePathic_arrow_out