Top Songs By Rayvanny
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Rayvanny
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Rayvanny
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Zesty
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Nahisi ninabahati mbaya kipi nilichokosea
Nikijaribu kutafuta shida ndo zinakolea
Mfukoni hali mbaya sio kama najitetea
Ile pesa yakusuka mbona nilikuletea
Mawazo yani yanani kolea
Nikupe nini usijepotea
Ndungura yani inanyong'onyea
Lilinde penzi lisijeteketea
[PreChorus]
Vitunguu, mboga za majani laki tano kwenye genge
Nyama tuu, nikupe milioni kwani unapika kenge
Si Jana tuu, nimelipa pochi na doti za vitenge
Viatu juu ulivyojumua kama unaduka mwenge
[Chorus]
Chuma ulete, chuma ulete
Usiwe chuma ulete
Nsije kubadili jina nikakuita chumaulete
Chuma ulete, mama chuma ulete
Usiwe chuma ulete
Nsije kubadili jina nikakuita chuma ulete
[Verse 2]
Pesa sio nguvu za milundi
Kunyanyua jiwe juu chini
Tukitoka unakuja na kundi
Gharama zote juu yangu mimi
Unanasa pesa kama gundi
Sasa mimi nitumie nini
Kila siku kushona kwa fundi
Kama mpambaji wa shughulini
[Verse 3]
Eti nguva inaita
Mara mapande sita
Mshazari umeshika
Hakuna fasheni inakupita
Juzi ulikunja ngita
Wataka mchele tani sita
Mama mbona unatisha
Kwani unafuturisha
[Verse 4]
Mawazo yani yanani kolea
Nikupe nini usije potea
Ndungura yani inanyongo'nyea
Lilinde penzi lisije teketea
[PreChorus]
Vitunguu, mboga za majani laki tano kwenye genge
Nyama tuu, nikupe milioni kwani unapika kenge
Si jana tuu, nimelipa pochi na doti za vitenge
Viatu juu ulivyojumua kama unaduka mwenge
[Chorus]
Chuma ulete, chuma ulete
Usiwe chuma ulete
Nsije kubadili jina nikakuita chuma ulete
Chuma ulete, mama chuma ulete
Usiwe chuma ulete
Nsije kubadili jina nikakuita chuma ulete
Written by: Rayvanny