Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Harmonize
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Rajab Abdul
Songwriter
Lyrics
Huo ni ushambaa huo ni wee, huo ni ushambaa huo ni wee
Huo ni ushambaa huo ni (Eeh huo ni ushamba)
Pesa ya kulipa gesti unayo (Eeh), nyumbani familia inapiga miyayo, yanafurahisha ufanyayo (Eeh huo ni ushamba)
Inaboa kudadadeki dereva wa uber hataki kuova teki eti kisa pesa haiongezeki (Eeh huo ni ushamba)
Yupo kitandani kajilegeza (Eh), mi nimeshapaka vya kuteleza (Eh), eti bebi leo simba wanacheza (Eeh huo ni ushamba)
Husband material kutwa unalike picha za makalio vya wenzako usijipe matamanio (Eeh huo ni ushamba)
Ashura wa mbagala huna pa kula pa kulala, komenti ndefu picha za Kajala huo tunaita (Eeh huo ni ushamba)
Huo ni ushambaa huo ni, huo ni ushambaa huo ni
Huo ni ushambaa huo ni (Eeh huo ni ushamba)
Malejendi si wamerudisha vita wanahofia eti jeshi anawapita bila sababu wananikunjia ndita (Eeh huo ni ushamba)
Limechoka acha nilikalagaze halina meno ilo simba zee likila demu lazima litangaze huo tunaita (Eeh huo ni ushamba)
Hivi dunia ndo ipo kikomo eeh, maana hadi waganga wanapiga promo hadi insta eeh wana page za kujipigia domo (Eeh huo ni ushamba)
Amepanga chumba huko vingunguti yupo mbezi kwa demu pesa hatafuti mmh vipi akikupiga kibuti (Eeh huo ni ushamba)
Konda wa daladala umenipitisha bahati mbaya nililala unataka nilipe tena ni busara (Eeh huo ni ushamba)
Huo ni ushambaa huo ni, huo ni ushambaa huo ni
Huo ni ushambaa huo ni (Eeh huo ni ushamba)
Kaja na vumbi uso umefubaa, anadai kapaka poda eeh, kaniomba nauli ya uber (Eeh huo ni ushamba) yule namuona kapanda boda
Vitu vingine haviji na ubongo eeh, punguzeni sifa wana sio mchongo eeh, demu humjui unampakia mkongoo (Eeh huo ni ushamba)
Ye' ndo kalewa kuliko wote anaimba nakucheza ngoma zote wakati wakulipa bili sina chochote (Eeh huo ni ushamba)
Meno yote nje anachekelea, ahsante bebi nimepokea hasa mbona haujatuma na yakutoleaa (Eeh huo ni ushamba)
Kumepambazuka alfajiri tupo club maana anasema subiri yani kisa yeye ndo mwenye usafiri aah (Eeh huo ni ushamba)
Tunaishi kwa nyumba ya kupanga, mwenzetu unatuletea muganga, unataka wote tuonekane wangaa huo tunaita (Eeh huo ni ushamba)
Huo ni ushambaa huo ni, huo ni ushambaa huo ni
Huo ni ushambaa huo ni (Eeh huo ni ushamba)
Kwanza kama, kama, kama tumekutana mchana unasema haujala
Hehe, asubuhi si ungeniomba mswaki wewee hehehe hahaha hahahaha
Huo ni ushaa huo nii, huo ni ushaa huonii, huo ni ushaa huo nii, huo ni ushaa huonii
Written by: Rajab Abdul