Featured In
Top Songs By Harmonize
Credits
PERFORMING ARTISTS
Ntosh Gazi
Vocals
Harmonize
Performer
Lyrics
[Intro]
Yaw yaw
Ewena maa, ewena ewe
Woza
Tshaba, tshaba
[Intro]
Hahaha jeshi
Tshaba dingwenya ke tseo wena maan
Tshaba
[Verse 1]
Izo stress za kudaiwa makodi uko nyumbani
Kwanza zitupe mbali ndo upige hodi humu ndani
Na ukitakaushauri
Bora uende angaza
Hapa ni kula vizuri
Kunywa kujigalagaza
[PreChorus]
Hicho kiuno kakupa mama ma ma
Waoneshe unavyotingisha nyama ma ma
Eeh namabisho aacheni shika taama ma ma
Tumia pesa starehe ni gharama ma ma
[Chorus]
Eh asa mbona unakaa
Unakaa
Unakaa
Unakaa
Inama inuka
Inuka
Inuka
Inuka
Asa mbona umekaa
Umekaa
Umekaa
Umekaa
Inama inuka
Inuka
Inuka
We DJ
Inama inuka
Inama inama inuka
Inama inuka
Inama inama inuka
[Verse 2]
Bona maan
Hamba, phuz' amanzi sithi phendula
Bona maan
Hamba, phuz' amanzi sithi phendula
Wee spore maan
[Verse 3]
Vipi umekuja klabu
Na umekaa kinyonge umejinamia
Too much
Hayi is too much
Kama hunywi ulabu
Agiza ata kaa soda kakuzugia
Too much
Hayi is too much, Harmonize is too much
Shida mikosi na taabu
Kila aliyepohai anaipitia
Too much
Au is too much
Ntosh Gazi is too much
Wewe dada
Nyoga wakuone vibaku
Midamida utawadandia
[PreChorus]
Hicho kiuno kakupa mama ma ma
Waoneshe unavyotingisha nyama ma ma
Eeh namabisho aacheni shika taama ma ma
Tumia pesa starehe ni gharama ma ma
[Chorus]
Eh asa mbona unakaa
Unakaa
Unakaa
Unakaa
Inama inuka
Inuka
Inuka
Inuka
Asa mbona umekaa
Umekaa
Umekaa
Umekaa
Inama inuka
Inuka
Inuka
We DJ
Inama inuka
Inama inama inuka
Inama inuka
Inama inama inuka
[Chorus]
Bona maan
Hamba, phuz' amanzi sithi phendula
Bona maan
Hamba, phuz' amanzi sithi phendula
[Verse 4]
Hey, tshaba dingwenya ke tseo wena maan
Akere wa tseba moskito o tswela pele
Ache, walala wasala
Tshaba dingwenya ke tseo wena maan