Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Elani
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Elani
Songwriter
Lyrics
[Verse 1]
Hadithi-hadithi, hadithi njoo
Mwanzo asubuhi sura yako nionayo na
Jioni jua likitua wajua nakuwaza
Na asubui jua likiangaa
Pendo letu lang'aa (Aah)
[Verse 2]
Nikupende, nikulinde
Usichelewe tuolewe
Till death do us part
I promise to play my part
[Chorus]
Na nikupende adi mi nife
Adi mi nife (Aah)
Adi mi nife (Eeh)
[Verse 3]
Hodi, hodi nimekutamani toka zamani
Napiga hodi moyoni
Let me in you are all I need
Jioni jua likitua wajua siezi pumua
Asubuhi jua likiangaa pendo letu lang'aa
[Chorus]
Nikupende nikulinde
Usichelewe tuolewe
Till death do us part, I promise to play my part
Na nikupende adi mi nife (Eey)
Adi mi nife
[Verse 4]
Nakumbuka ulivyosema unanipenda
Nilikucheka tukitembea
Na sasa nataka upajue kwetu
Ujue pia mama yangu
Wewe ni zawadi yangu, yule wangu
[Chorus]
Nikupende
Usichelewe (Ooh baby usichelewe)
Tuolewe
Njoo uishi na mi unizalie mami
Na nikupende adi mi nife
Nikupende nikulinde (Eey)
Usichelewe (Usichelewe) tuolewe
Till death do us part I promise to play my part
Na nikupende (Nitakupenda) adi mi nife
Adi mi nife
Me na wewe babyy
Nitapenda baby (Ooh)
Written by: Elani