Music Video

Elani - Hapo Zamani [@elanimuziki] [SKIZA 7630597] SMS to 811
Watch Elani - Hapo Zamani [@elanimuziki]  [SKIZA 7630597] SMS to 811 on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Elani
Elani
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Elani
Elani
Songwriter
Bryan Chweya
Bryan Chweya
Songwriter
Maureen Kunga
Maureen Kunga
Songwriter
Wanyoike Kimani
Wanyoike Kimani
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Kevin Macharia
Kevin Macharia
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Rauka jamaa, kumekucha
Miaka kumi na sita, kidato cha kwanza
Pokea salam, siku mpya
[Verse 2]
Insider za kwanza, zasifiwa boma
Kaipokea tetesi, mwaja shule ni wikendi
Barua uliyoituma imeshasoma na
Sijaweza kupumua, moyo wangu waridhika
Sijaweza kupumuaa
[Chorus]
Hapo zamani nikajua ningekuoa
Hapo zamani ukiambiwa
Unapendwa (Waamini)
Ukipendwa (Una imani)
[Verse 3]
Nilikuwaza sana michana kutwa
Wewe sukuma mimi ugali wishwa
Na tulipendana kinyama
Nikaipokea tetesi, una mwingine
Akula mishikaki, aishiye kifahari
Mi sikuweza kupumua, moyo wangu kavunjika
Sikuweza kupumua
[Chorus]
Hapo zamani nikajua ningekuoa
Hapo zamani ukiambiwa
Unapendwa (Waamini)
Ukipendwa (Una imani)
[Verse 4]
Sikujua, miaka kumi na sita
Siyo miaka, ya kuelewa dunia
Sikujua, miaka kumi na sita
Siyo miaka, ya kuelewa mahaba
Woyoo
Woyoo
[Chorus]
Hapo zamani nikajua ningekuoa
Hapo zamani ukiambiwa
Unapendwa (Waamini)
Ukipendwa (Una imani)
Written by: Bryan Chweya, Elani, Maureen Kunga, Wanyoike Kimani
instagramSharePathic_arrow_out