Music Video

Elani X Jaguar - Sirudi (Official Video) [SKIZA 7630586] SMS to 811
Watch Elani X Jaguar - Sirudi (Official Video)  [SKIZA 7630586] SMS to 811 on YouTube

Credits

PERFORMING ARTISTS
Elani
Elani
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Elani
Elani
Songwriter

Lyrics

[Intro]
Ni jaguaar, Elani baby
Wacha mi niende mi niende nimechoka sanaa
Baki usiende, usiende, nisamehe mama
[Verse 1]
Nitazame useme unayosema
Ukishayanena jua mi na endaa
Wajifanya hodari
Nimekusoma, weh fisi hatari
Usinikaribie, noo
[Verse 2]
Tafadhali skiza nayo semaa
Kukosa nimekosa kupetipeti Rhoda
(Weh wacha) Wacha nikupende nikupende nikupende mama
Wacha nikupende usiende nisamehe mamaa
[Chorus]
Sirudi, sirudi tena (Mi nitajuta)
Nimechoka sirudi tena (Ukienda nitajuta)
Sirudi, sirudi tena (Mi nitajuta)
Sirudi, sirudi tena (Mi nitajuta)
Sirudi, sirudi aah, utajutaa
[Verse 3]
Baby tulia, wachana na makesi, nusia maua
Nerea si ni wa jana na hana maana
Ni wewe napenda, ni wewe, napenda
Sitatulia, warandaranda kote
Mi nalia
Siku sita, warandaranda kote
Mi nalia
[Verse 4]
Nakubali niliteleza, akanipoteza
Penzi lake ni gereza nikawa mateka
Moyo wangu ni wako mami, moyo wangu ni wako maa
[Chorus]
Sirudi, sirudi tena (Mi nitajuta)
Nimechoka sirudi tena (Ukienda nitajuta)
Sirudi, sirudi tena (Mi nitajuta)
Sirudi, sirudi aah utajutaa
Sirudi, sirudi tena (Mi nitajuta)
Nimechoka sirudi tena (Ukienda nitajuta)
Sirudi, sirudi tena (Mi nitajuta)
Sirudi, sirudi tena (Mi nitajuta)
Sirudi, sirudi aah utajutaa
[Outro]
Wacha mi niende, mi niende nimechoka sana
Wacha mi niende, mi niendee
Noo, baki usiende usiende nisamehe mamaa
Baki usiende, usiende nisamehe mama aah
Wacha mi niende
Baki usiende mamaa, rudi nyumbani
Written by: Elani
instagramSharePathic_arrow_out