Top Songs By Ruby
Credits
PERFORMING ARTISTS
Ruby
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ruby
Songwriter
Lyrics
Yeah-yeah (yeah-yeah)
(Ruby) yeah
(Taurus)
Mapenzi hayana mwenyewe
Unaweza penda kijana au mzee, eeh
Niite jina langu baby
Huenda nafsi yangu itapoa, aah
Shika moyo wangu baby, unavyokwenda mbio wewe utapowa, ah-ah, ah
Kuna muda namwomba Mungu angekuleta mapema, ohh
Ila bado sio mbaya, wewe ndo unayejua maumivu yangu, hii baby
Ila bado sio mbaya, wewe ndo unayejua maumivu yangu
Sipo radhi unitoke machoni
Tembea nami ndotoni, eh
Nitakuweka moyoni
Bila hofu rohoni, yi, baby
Moyo wangu tembea na yule, na yule
Ndo nampendaga
Macho yangu mtazame yule, mtazame yule
Namwamini sana
Baby sitaki kutazama nyuma tena
Mm, maumivu nilishayaona
Wengi walinipotezea muda
Mm, hakuna nlichokipata, ah-ah, ah
Kuna muda namwomba Mungu angekuleta mapema, ohh
Ila bado sio mbaya, wewe ndo unayejua maumivu yangu, hii baby
Ila bado sio mbaya, wewe ndo unayejua maumivu yangu
Sipo radhi unitoke machoni
Tembea nami ndotoni, eh
Nitakuweka moyoni
Bila hofu rohoni, yi, baby
Moyo wangu tembea na yule, na yule
Ndo nampendaga
Macho yangu mtazame yule, mtazame yule
Namwamini sana
Ohh, siwezi ukabwe maisho yangu
Yatonaimi ndotoni hii, yeah, yeah
Moyo wangu tembea na yule, na yule
Ndo nampendaga (ndo nampendaga)
Macho yangu mtazame yule, mtazame yule (oh, mtazame yule, mtazame yule)
Namwamini sana
Moyo wangu tembea na yule, na yule (tembea na yule, tembea na yule)
Ndo nampendaga (ayi, yeah, yeah)
Macho yangu mtazame yule, mtazame yule (yule)
Namwamini sana (oh yeah, yeah)
Writer(s): Hellen Majeshi
Lyrics powered by www.musixmatch.com