Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Lava Lava
Lava Lava
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Lava Lava
Lava Lava
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Banny Music
Banny Music
Producer

Lyrics

Eh he, eh eh, eh (Bayan Music) Miaka ishirini na tatu sasa lava nimekuwa si mtoto tenaa Nishapitia mingi mikasa na nimeshajua lipi baya na jemaa Mhh, wazazi wanauliza kutwa wanapanda juu Laiti kabla hawajakufa waone wajukuu Na mitandaoni kukikucha mashabiki uh uh Mbona unatuyeyusha vipi shemeji? We ndo kipenzi cha walimbwende tunaona Insta yako DM imenona Unapendwa wadada kila kona tunaona ah Uwe na show Nachingwea, Musoma Wanakuja kwa wingi mbona Na mabusu unapigwa tunaona, tunaona Mpaka unazimia Vipi? (Nipo single) Wanauliza vipi? (Nipo single) Wanauliza vipi? (Nipo single) Eh wanauliza vipi? (Nipo single) Eh mbona nipo single? Mashabiki wengine visirani hawana dogo Wakikuandama jamani, hukuzodoa zodoo Eti, mwangalie Rayvanny yake mikogo Anaringa na mama Jaydan hawataki shobo Eh, na wengine uniambia jogoo hapandi mtungi Ona wakina Rukia na kina Mbosso Kirungi Achaga masihara Harmonize anajimwaga na Sarah mh Jitahidi tafadhali upate yeyote eh Kaza usiwe fala, zichange hizo gwaragwara Mmiliki Hamisa na Zari Kachibu Dangote We ndo kipenzi cha walimbwende tunaona Insta yako DM imenona Unapendwa wadada kila kona tunaona ah Uwe na show Nachingwea, Musoma Wanakuja kwa wingi mbona Na mabusu unapigwa tunaona, tunaona Mpaka unazimia Vipi? (Nipo single) (Wanauliza) Wanauliza vipi? (Nipo single) (Wanauliza) Wanauliza vipi? (Nipo single) Eh wanauliza vipi? (Nipo single) Eh mbona nipo single?
Writer(s): Lava Lava Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out