Top Songs By Diamond Platnumz
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Diamond Platnumz
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Diamond Platnumz
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lamar
Producer
Lyrics
Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee
moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa
Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee
moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa
Upole wangu simanzi eeehee, kwa kukupenda maradhi eeehee
lakini kupendwaga mi naye bahati huaga sina
jichoni kwangu kibanzi eeehee, tena nampenda kamanzi
licha ya kumthamini kama shilingi tatizo hata raha sina
ufinyu wa mboni zangu unatazama mengi aliyonipa mateso
tena hata kupenda sina raha, ona nakonda kwa mawazo
masikini penzi langu Gina nilishakata na kauli roho inatoka kesho
kutwa nzima mara eeeee mara iiiii hata najuta kupendaaa
Moyo wangu, moyo wangu mama eeeyeee
moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa
Moyo wangu, moyo wangu mama eeeyeee
moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa
mmmmhh tena, kutwa kucha mara ooohhh
huwezi kosa maneno, ili mradi tu tara tantalila, mmmh sina raha
wala sina tena mipango, kutwa nzima na mawazo Gina
mmhhh aaaaaahh ooohh sina raha oo mama
tamu ya wali ni nazi eeeeee, raha ya supu maandazi eeeeeeee
raha yangu mi kupendwa tu naye lakini nyota sinaaa
na napata na radhi eeeeee, nawakufuru wazazi eeeeeee
kwa kung'ang'ana mi kutaka kuwa naye lakini bahati sinaaa
masikini roho ingalikuwa ni nguo ningempa avae japo akipita wamsifie
ila lakini ni kikwazo
masikini penzi langu Gina nilishakata na kauli roho inatoka
kesho kutwa nzima mara eeeee mara iiiii hata najuta kupendaaaa
Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee
moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa
Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee
moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa
Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee
moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa
Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee
moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa
Writer(s): Diamond Platnumz
Lyrics powered by www.musixmatch.com