Credits

PERFORMING ARTISTS
EMKAY64
EMKAY64
Rap
COMPOSITION & LYRICS
Daniel Amos Maina
Daniel Amos Maina
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
EMKAY64
EMKAY64
Producer

Lyrics

Hamna kitu hamna kitu inaua madogo anga zangu
Viparare vimepeleka watu kwa baba anga zangu
Tulikua na ndoto ya kua wasanii wakubwa mi na mwangu
Ndio maaana huwa namtaja karibu kwa kila ngoma yangu
Nakula hizi dawa ata kaa najua zinaniumiza
Sifkirii sana
Naeka beat alafu naanza kuongea vitu vinanitatiza
Mbona ukasirike ukiniomba nkwambie sina
Umenibadilishia akili sababu umeona nina jina
Family ya watu watano room moja bila stima
Mlo haubadiliki daily skuma tu na sima
Nilikua dogo lakini nakaa na watu wazima
Talk less wakionge nilikia na kaa kimya
Usiwe mwepesi kufanya uamuzi ukiwa na hasira
Nlikua tofauti tangu niwe junior
Hakuna rahisi dogo kaza endelea kujituma
Kwa sababu ya magoma anga zangu madogo wametuna
Kwa sababu ya magoma anga zangu madogo wametuna
Hamna kitu hamna kitu inaua madogo anga zangu
Viparare vimepeleka watu kwa baba anga zangu
Tulikua na ndoto ya kua wasanii wakubwa mi na mwangu
Ndio maaana huwa namtaja karibu kwa kila ngoma yangu
Nakula hizi dawa ata kaa najua zinaniumiza
Sifkirii sana
Naeka beat alafu naanza kuongea vitu vinanitatiza
Vinanitatiiza.

Written by: Daniel Amos Maina
instagramSharePathic_arrow_out