Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
EMKAY64
Melodica
COMPOSITION & LYRICS
Daniel Amos Maina
Songwriter
Lyrics
Staki mazoea sitaki kuzoeana
Kama hatujuani usiiniite mwana
Kabla tujuane tuongee biashara
Kama sio ganji my n**ga shut up
Kile mi ninacho wao hawana
Nina gana nitakudunga ji susu we sini mwana
Bugi mtandaoni tukionana tunamalizana
Kunitoa kwenye game waambie watangoja sana
Sina hio time yakubishana
Nlimwambia mwanangu usi pige hio naijua ni panya nlimwambia mwanangu usiume sai unajulikana
Kabla anate wiki nyuma ilikua nimemkanya
Vitu ni vingi akilini sometimes naongea vitu sifai kuongea kwenye ngoma
Kwenye washkaji zako kumi Kama wawili ndio wanaeza kubaki ukiwa kwenye noma
Ata Kama nlikimbia shule hizi Streets kuna vitu nimesoma
Naenda dunia nyengine nkifunga ninii nikiichomaa
Nikiichomaa
Nikiichomaa
Nikiichomaa
Nikiichomaa
Niudhi tuu bora uniambie ukweli nrekebishe Wee Kama brother man
Ukiniona na feli
Uko ndani sababu ya Kama tibo kumi
Ebu tuambiane ukweli
Zile bloody bloody nyingi nkt sidhani Kama uwa ni za kwelii
Yani namaanisha ebu mwanzo mjue kabla hujamuita mwanao
Kivipi Wee hauna kitu yeye anapiga mabao
Namwambia mwanangu daily usiwaamini hawa mafrau
Mama ananiambia siko sawa
Namwambia huenda ikawa
Sometimes najifeel ka napagawa
Eloi niepushe nisije nkaingilia mdawa
Naongea na mungu mara kwa mara
Mwanangu anafanya uchafu na hakosi swala
Namwambia tulia tuta tisua nishaona ishara
Si unajua malipo ya streety mara nyingi uwa niasara (kifo au jela)
Vitu ni vingi akilini sometimes naongea vitu sifai kuongea kwenye ngoma
Kwenye washkaji zako kumi Kama wawili ndio wanaeza kubaki ukiwa kwenye noma
Ata Kama nlikimbia shule hizi Streets kuna vitu nimesoma
Naenda dunia nyengine nkifunga ninii nikiichomaa
Nikiichomaa
Nikiichomaa
Nikiichomaa
Nikiichomaa
Written by: Daniel Amos Maina