Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
EMKAY64
EMKAY64
Performer
Daniel Amos Maina
Daniel Amos Maina
Melodica
COMPOSITION & LYRICS
Daniel Amos Maina
Daniel Amos Maina
Songwriter

Lyrics

sura ya rais kwa mfuko ndio kitu mimi nadai
nikivunja sheria afande anakunywa chai
f being sober nkilala ndio uwa siko hai
naishi mara moja so wacha tu nienjoy life
lete iliwe hatukai
ukiwa mnoko hautufai
rap haiuzi ntauza shhhhh
rap haiuzi ntauza shhhhh
rap haiuzi ntauza shhhhh
rap haiuzi ntauza shhhh
rap haiuzi ntauza shhhh
rap haiuzi ntauza shhh
hustler fund wananitext naona soon navunja line
dem anataka tu s#x anipe tu kijirani
big ndanda ugly face poa tu ntatia sign
after tumemalizana
B##ch please chukua time
wanandani ni maadui mimi ata siwafagilii
ngoma zao siziijui sababu si afatilii
nikiwa streety
mimi uwa sio msanii wee ni ma Ti Ti
usikuje huku ni kwa ma G
utaniudhi utaniudhi utaniudhi utaniudhi utaniudhi unaongea sana mbona hunyamazi
mimi sio mbuzi mimi sio mbuzi mimi sio mbuzi mimi sio mbuzi
mi ni emkay mwenye mbuzi mfugaji
sura ya rais kwa mfuko ndio kitu mimi nadai
nikivunja sheria afande anakunywa chai
f being sober nkilala ndio uwa siko hai
naishi mara moja so wacha tu nienjoy life
lete iliwe hatukai
ukiwa mnoko hautufai
rap haiuzi ntauza shhhhh
rap haiuzi ntauza shhhhh
rap haiuzi ntauza shhhhh
rap haiuzi ntauza shhhh
rap haiuzi ntauza shhhh
rap haiuzi ntauza shhh
maoni yako jiwekee
i do what i like i dont care
ungejua ninapotokea wengi wamepotea
ukiona kama nakosea kubwa kubwa tembea
ukiona kama nakosea kubwa kubwa tembea
wooza wooza wooza wooza wooza wooza wooza wooza
zoza zoza zoza zoza zoza zoza zoza zoza
sura ya rais kwa mfuko ndio kitu mimi nadai
nikivunja sheria afande anakunywa chai
f being sober nkilala ndio uwa siko hai
naishi mara moja so wacha tu nienjoy life
lete iliwe hatukai
ukiwa mnoko hautufai
rap haiuzi ntauza shhhhh
rap haiuzi ntauza shhhhh
rap haiuzi ntauza shhhhh
rap haiuzi ntauza shhhh
rap haiuzi ntauza shhhh
rap haiuzi ntauza shhh
Written by: Daniel Amos Maina
instagramSharePathic_arrow_out