Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
EMKAY64
EMKAY64
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Daniel Amos Maina
Daniel Amos Maina
Songwriter

Lyrics

Sana sana sana sana
Kwao sumu kwetu dawa
Pande zetu tuko sawa
Fully sheshe utapagawa
Tukipata tunagawa
Kwao sumu kwetu dawa
Pande zetu tuko sawa
Fully sheshe utapagawa
Tukipata tunagawa
Tukipata tunagawa
Tukipata tunagawa
Pande zetu tuko sawa
Fully sheshe utapagawa
Tukipata tunagawa
 Tukipata tunagawa
Pande zetu tuko sawa
Fully sheshe kama kawa
Tukipata tunagawa
 Tukipata tunagawa
Pande zetu tuko sawa
Fully sheshe utapagawa
Tukipata tunagawa
 Tukipata tunagawa
Pande zetu tuko sawa
Fully sheshe utapagawa
Peace na wana kitaa mashada tu Fully mangwai
Puff mbili niko ulaya napenda tu nikiwa high
Fully Fully ile mbaya nzuri kwao zetu mbaya
Tukipata tunagawa Fully sheshe kama kawa
Naflow mbaya nawashangaza
Bichi nyoso nmekomaza
Kila weekend niko rada
N*ga juu ya miti kama tazan
Nafanya kweli wanabana
Nazidi omba tu rabana
Wakijipa nawazama
Cheki wanafeli wanakwama
Sura usongo jicho nyanya
Uslete zaki mama mama
Bonga mbaya tutakutana
Na ukitaka disi nakuchana
Mpambanaji napambana
Flegi kubwa toka zama
Cheza chini n#*ga maana si unajua bugi tu lawama
Kwao sumu kwetu dawa
Pande zetu tuko sawa
Fully sheshe utapagawa
Tukipata tunagawa
Kwao sumu kwetu dawa
Pande zetu tuko sawa
Fully sheshe utapagawa
Tukipata tunagawa
Tukipata tunagawa
Tukipata tunagawa
Pande zetu tuko sawa
Fully sheshe utapagawa
Tukipata tunagawa
 Tukipata tunagawa
Pande zetu tuko sawa
Fully sheshe kama kawa
Tukipata tunagawa
 Tukipata tunagawa
Pande zetu tuko sawa
Fully sheshe utapagawa
Tukipata tunagawa
 Tukipata tunagawa
Pande zetu tuko sawa
Fully sheshe utapagawa
Young n#gga nimepanda bei
Young n#gga skuizi sikosei
Young n#gga hawaniezei
Fully sheshe n#gga kila day
Am never sober daily juu ya tei
Masnitch kando hatuwachekei
Washanijua mimi ndio emkay
They all pay respect hawaongei ongei
Moshi nachoma mandom
Nipe kilighter na boom
N#gga sikosagi form
Kama sio studio ni home
MSA am the n#gga wanatii
Pande zangu oder Fully ma G
Mbele yao hawezi kuwa kama mimi
Leta lighter tuwakishe nani
Sura usongo jicho nyanya
Uslete zaki mama mama
Bonga mbaya tutakutana
Na ukitaka disi nakuchana
Mpambanaji napambana
Flegi kubwa toka zama
Cheza chini n#*ga maana si unajua bugi tu lawama
Kwao sumu kwetu dawa
Pande zetu tuko sawa
Fully sheshe utapagawa
Tukipata tunagawa
Kwao sumu kwetu dawa
Pande zetu tuko sawa
Fully sheshe utapagawa
Tukipata tunagawa
Tukipata tunagawa
Tukipata tunagawa
Pande zetu tuko sawa
Fully sheshe utapagawa
Tukipata tunagawa
 Tukipata tunagawa
Pande zetu tuko sawa
Fully sheshe kama kawa
Tukipata tunagawa
 Tukipata tunagawa
Pande zetu tuko sawa
Fully sheshe utapagawa
Tukipata tunagawa
 Tukipata tunagawa
Pande zetu tuko sawa
Fully sheshe utapagawa
Written by: Daniel Amos Maina
instagramSharePathic_arrow_out