Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
EMKAY64
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Daniel Amos Maina
Songwriter
Lyrics
Juu ya mandege ma skunka ma Skenke ma skunki
Juu zaidi yao aminia na Chini mi sishuki
Siongei kichina hujanuielewa we ni stupid
Chako ni chetu na changu ni changu mi skupi
Wananidiss lakini mi ata sishtuki
Tafauti yangu na wao wana akili fupi
Wee ni snitch wee ni mbea ukiniona uma suti
Piga zoezi tukionana make sure una nduki
Haina noma usivue hio ninja basi sawa vua chupi
Nimesahau ata jina Lako eti ulisema wee ni Lucy
Anasema nlidimu hachomi eti anataka cookies
Shhh tulia ebu sikilizia ilo skunki
Juu ya ma skunka maskenke ma skonko ma skunki
Juu zaidi yao aminia na Chini mi sishuki
Siongei kichina hujanuielewa we ni stupid
Chako ni chetu na changu ni changu mi skupi
Onn sifungi jicho na wasorora
Position nkiwalola
Boy usiniuzishe si nishasema huelewi ama
Kaa mbali na mimi na una step zakiboya
Waliacha kua wasanii hawaonekani sielewi ama
Tangu mimi nije walihora
Wambieni wasiogope wanaeza kuja niwape verse oe
Lakini kama wanaeza inyonya
Juu ya ma skunka maskenke ma skonko ma skunki
Juu zaidi yao aminia na Chini mi sishuki
Siongei kichina hujanuielewa we ni stupid
Chako ni chetu na changu ni changu mi skupi
Written by: Daniel Amos Maina