Lyrics

[Verse 1]
Machozi yalinitoka nilipoitesa furaha
Nikayachukia mapenzi hadi kupenda tena mayo ukakataa
Ila siku zilikwenda, nimempata anayenifaa
Ananipa mautamu ambayo sikuwaikupata
[Verse 2]
Sina la kusema zaidi (Nnayempenda ni yeye)
Na Mungu ndiye shahidi (Nitazikwa na yeye)
Wakupate kwenye zaidi (Tuwe wote milele)
Tuhepuke mahasidi, wenye chuki (Viherehere)
[Chorus]
Niteke (Oh niteke)
Nishakwambia teka niteke (Oh niteke)
Baby, baby niteke (Oh niteke)
Nishakwambia teka niteke (Oh niteke)
[Verse 3]
Sikatai sina pesa, sina nyumba, ila upendo kweli ninao
Ata wakituteta usijali kwani si hatuli kwao
Nilikuwa wapi kwa mjomba nimechelewa
Sio kwa raha anavyonipa nshanogewa
[PreChorus]
Sina la kusema zaidi (Nnayempenda ni yeye)
Na Mungu ndiye şahidi (Nitazikwa na yeye)
Nikupate kwenye zaidi (Tuwe wote milele)
Tuhepuke mahasidi, wenye chuki (Viherehere)
[Chorus]
Niteke (Oh niteke)
Nishakwambia teka niteke (Oh niteke)
Baby, baby niteke (Oh niteke)
Nishakwambia teka niteke (Oh niteke)
Written by: Khalfan Hamis
instagramSharePathic_arrow_out