Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Iyanii
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ian Oure Okwemba
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Vicky Pon Dis
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Uzuri wako na ubaya na ujua mwenyewe
Lakini bado moyo umekuchagua wewe
Kwa hii dunia yangu nakuona tu wewe
Na hii barua moyo umekuandikia wewe
[Verse 2]
Mmh, nakupigia saluti
we ndio yangu bahati
me mwengine sitaki
Ooh baby
[Verse 3]
Natulizwa na yako sauti
Ntakupenda mpaka mauti
My sweet chocoleti
Ooh baby
[PreChorus]
Ukiwa mbali na mimi
Nahisi upweke moyoni
Sina amani
Sina raha maishani
[PreChorus]
Ukiwa mbali na mimi (Ooh ooh oh)
Nahisi upweke moyoni (Aah aah ah)
Sina amani
Na ikipungua, ikipungua, naomba uongeze
[Chorus]
Ma, ma, ma, mapenzi
Na, u, zidi kuni enzi
Ooh ooh ooh
Ma, ma, ma, mapenzi
Na, u, zidi kuni enzi
La la la la la la
[Refrain]
Uuh la, la, la, la, la, la
Uuh la, la, la, la, la, la (Laa aah aah ah ah)
Uuh la, la, la, la, la, la (Lala, lala kifuani)
Uuh la, la, la, la, la, la (Lala my baibe)
[Verse 4]
Picha nzuri nishawai kuona, ni nikitabasamu
Ju yako mpenzi (Ju yako mpenzi)
Na hisia bora kabisa me hupata ninapo kuangalia
Kwa macho mpenzi (Kwa macho mpenzi)
[Verse 5]
I love the way you are so simple
Hatutotenganishwa hata na kifo
Nakuchagua wewe hadi mwisho
Ooh
[PreChorus]
Ukiwa mbali na mimi
Nahisi upweke moyoni
Sina amani
Sina raha maishani
[PreChorus]
Ukiwa mbali na mimi (Ooh ooh oh)
Nahisi upweke moyoni (Aaah aah ah)
Sina amani
Na ikipungua, ikipungua, naomba uongeze
[Chorus]
Ma, ma, ma, mapenzi
Na, u, zidi kuni enzi
Ooh ooh ooh
Ma, ma, ma, mapenzi
Na, u, zidi kuni enzi
La la la la la la
[Refrain]
Uuh la, la, la, la, la, la
Uuh la, la, la, la, la, la (Laa aah aah ah ah)
Uuh la, la, la, la, la, la (Lala, lala kifuani)
Uuh la, la, la, la, la, la (Lala my baibe)
Written by: Ian Oure Okwemba