Top Songs By Harmonize
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Harmonize
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Rajabu Ibrahim Abdulkahali
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
B Boy
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Tanzania ya Samia
Inajengwa na watanzania
Wenye macho wanashuhudia
Hatua tunazofikia
[Verse 2]
Kila siku, kila wiki
Kila mwezi
Sina budi kuisifu
Wizara yetu ya ujenzi
[PreChorus]
Pongezi kwa TANROADS
Mnachapa kazi kila leo
Pesa za walipa kodi
Ndio chachu ya maendeleo
[PreChorus]
Asanteni TEMESA
Mnachapa kazi bila kupepesa
Vivuko vishawahi kututesa
Mama kawekeza nguvu na pesa
[Chorus]
Tanzania inajengwa (Tanzania kwanzaa)
Tanzania Inajengeka (Tanzania kwanzaa)
Jamani Mama anajenga (Tanzania kwanzaa)
Barabara zinajengeka (Tanzania)
[Verse 3]
Hongereni TBA
Mnachapa kazi bila kurudi nyuma
Tunayaona
Majumba ya wafanyakazi na watumishi wa umma
[Verse 4]
Kwenye jiji la Dar
Arusha na Dodoma
Ooh ni furaha
Iliyoje kuyaona
[PreChorus]
Pongezi kwa TANROADS
Mnachapa kazi kila leo
Pesa za walipa kodi
Ndio chachu ya maendeleo
[PreChorus]
Asanteni TEMESA
Mnachapa kazi bila kupepesa
Vivuko vishawahi kututesa
Mama kawekeza nguvu na pesa
[Chorus]
Tanzania inajengwa (Tanzania kwanzaa)
Tanzania Inajengeka (Tanzania kwanzaa)
Jamani Mama anajenga (Tanzania kwanzaa)
Barabara zinajengeka (Tanzania kwanzaa)
Written by: Rajabu Ibrahim Abdulkahali