Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Bruce africa
Bruce africa
Guitar
COMPOSITION & LYRICS
Bruce Elias Sanane
Bruce Elias Sanane
Songwriter

Lyrics

On Your Door
I’m knocking on your door
Nina Mapenzi ya Ukweli Yapokee
Najua upo single
I’m knocking on your door
Umekuwa Mpweke Usiteseke Mwenyewe
I love you
Nashindwa jizuia
Upo on fire
On fire
I love you
Nashindwa jizuia
 Umenishika Pabaya
Pabaya
So Take My Number Babe
Call me when you ready
I’ll be here Waiting For You
Nitakusubiri Tu
Take My Number Babe
Call me when you ready
I’ll be here Waiting For You
Nitakusubiri Tu
Stop lying to yourself
Eti Kuwa single nako ni Bingo
Unatamba kweupe
Ukiwa Mwenyewe Nyumbani kilio
Mkamilifu Hapatikani
Ungana nami kwa Safari
Nitakupatia Amani Usikumbuke ya zamani
Mkamilifu Hapatikani
Ungana nami kwa Safari
Nitakupatia Amani Usikumbuke ya zamani
So Take My Number Babe
Call me when you ready
I’ll be here Waiting For You
Nitakusubiri Tu
Take My Number Babe
Call me when you ready
I’ll be here Waiting For You
Nitakusubiri Tu
Written by: Bruce Elias Sanane
instagramSharePathic_arrow_out