Top Songs By Watendawili
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Watendawili
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Edgar Israel Onyach
Songwriter
Ywaya Eugine Simon
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Bassman
Producer
Lyrics
Mungu nisamehe
Ilikuwa niingie church kesho
Nikajipata kwa form ya kamnyweso
Sasa bash imegeuka jam session
Niko lucky sina fiancée
Naweza rudi home anyday
Na hii bash ina madenge
Na wengi wao joh ni malele
Jitetee
Sijali
Ka ntalala nje leo sijali
Ni lazima niongeze makali
Juu ni bash ya mtu leo pahali
So sijali
Sijali
Ka ntalala nje leo sijali
Ni lazima niongeze makali
Juu ni bash ya mtu leo pahali
So sijali no
Tupige sherehe hadi kesho
Wa kulewa wacha tulewe
Zikiisha tuongezewe
Hadi kesho
Tupige sherehe hadi kesho
Wa kulewa wacha tulewe
Zikiisha tuongezewe
Hadi kesho
Mashashola kwa hewa
Na mangeus wamebeba
Wazuri wa Kisauni
Wamedunga madera
Leo mi kamagera
Juu ni lazima nitadandia dandia
Si unajua kwangu sherehe ni sheria
Kuna vile Niko juu ya dunia
Cloud 9 aki zimenilipukia
Sijali
Ka ntalala nje leo sijali
Ni lazima niongeze makali
Juu ni bash ya mtu leo pahali
So sijali
Sijali
Ka ntalala nje leo sijali
Ni lazima niongeze makali
Juu ni bash ya mtu leo pahali
So sijali no
Tupige sherehe hadi kesho
Wa kulewa wacha tulewe
Zikiisha tuongezewe
Hadi kesho
Tupige sherehe hadi kesho
Wa kulewa wacha tulewe
Zikiisha tuongezewe
Hadi kesho
Written by: Edgar Israel Onyach, Ywaya Eugine Simon