Top Songs By Bensoul
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Bensoul
Performer
Zzero Sufuri
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Bensoul
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Mutoriah
Producer
Lyrics
[Bensoul]
Hey lovely umekuja na nani
Ju nimenoki vile unacheka so bubbly
Nipe mechi ata tupige tu ka friendly
One time nikuonyeshe tu mapenzi
But your aunty aunty hapendi wananti
Kwanza akinionanga huona tu bhangi
Ata baba yako amenishika mashati
Ila naomba wewe unipe nafasi
The good times are calling
Why you ignoring
Don’t say you’re boring
And my heart is ready for you
Fun times are calling
I should be loving you
If I hurt you I’m sorry
But tonight I came here for you
[Chorus]
I’m at your doorstep
Niko mavela zimenishow ni wewe
Nitabisha hadi baba yako atoke
Ju sitoki hapa mpaka wewe utoke (Yeah x2) X2
[Zero Sufuri]
Nashika pen na paper na
Siko ketepa si -nikuzitoka
ni-Ka tuko mboka
Mi kwenda ka whisky wengine ma vodka
Kuna wasee hupenda miti wengine mogoka (eh!)
Na si maajabu ukiregeza unatokwa
Msupa leo ni twingi ka uko chini unakopa
Look safi ni ka nimekuja na chopper
Mi hukata na mapanga roundi ingine na shoka (Cheki)
Rada safi kwanza nikiwa na nikey
A.k.a ni Jose , Mary ndio hukuwanga me Wifey
Ye ndio manzi hufanyanga nifanye vitu staki
Sha jiripot kuwakilisha jistaki
Na taki ya kushika kwa maji ka samaki
Ni (puff) ni punguze wasiwasi
Ibaki niaje kunanukia nananasi
Ama ni nana amenikulisha nanasi
[Chorus]
I’m at your doorstep
Niko mavela zimenishow ni wewe
Nitabisha hadi baba yako atoke
Ju sitoki hapa mpaka wewe utoke (Yeah x2) X2
[Outro]
Written by: Benson Mutua Muia, Bensoul, Mutoriah