Upcoming Concerts for Njerae
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Njerae
Vocals
Ywaya Tajiri
Vocals
Israel Onyach
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Njerae
Composer
Ywaya Tajiri
Composer
Israel Onyach
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Kobby Worldwide
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Nakumbuka ulivyosema
Ati tena wanipenda
Nikiwaza pia ulivyonitenda
Hapo mapema, kunitenda ahh
[Verse 2]
Na nyumbani nishaenda mara kadhaa
Wengi nishapenda, nani afaaye
Penzi langu la ukweli
Nishapatana na lines zako deadly
[Verse 3]
Ah so don't take it personally
I don’t think you should be with anybody
Naona tu ni afadhali
Ubaki pekee yako, so
[Chorus]
Baki pekee yako, umevunja wengi, baki pekee yako
Baki pekee yako, umevunja wengi, baki pekee yako
Baki pekee yako, umevunja wengi, baki pekee yako
Baki pekee yako, umevunja wengi, baki pekee yako
[Verse 4]
Hizi vitu ziufanyika aah
Ni pilka pilka madem joh ni wengi
But ni we ndio mi naita
Hao wengine nilicheza nao
[Verse 5]
Lakini penzi yenye mimi sitawahi sahau
Ni ile penzi we ulinipa mpaka sahi niko Ngai fafa
Sitai pata penzi kama lako
Ni kweli mi ndio nilitupa rada kucheza nje na kuhanya
Nimebaki na mawazo
[Chorus]
Baki pekee yako, umevunja wengi, baki pekee yako
Baki pekee yako, umevunja wengi, baki pekee yako
Baki pekee yako, umevunja wengi, baki pekee yako
Baki pekee yako, umevunja wengi, baki pekee yako
[Verse 6]
Uko wapi sasa, bila weh siko sawa, nimekosa raha
Na najua mabeshte wako wananisemanga
Mara waliniona huku, mara wali niona kule
Wana niekeleanga bure uwiii
[Verse 7]
Kile kimomacho, kile kimomacho mama (Nisamehe)
Kile kimomacho, kile kimomacho mama (Désolé)
Kile kimomacho, kile kimomacho mama (Nisamehe)
Kile kimomacho, (Penzi désolé)
[Chorus]
Baki pekee yako, umevunja wengi, baki pekee yako
Baki pekee yako, umevunja wengi, baki pekee yako
Baki pekee yako, umevunja wengi, baki pekee yako
Baki pekee yako, umevunja wengi, baki pekee yako
[Outro]
Kile kimomacho, kile kimomacho mama
Kile kimomacho, kile kimomacho mama
Kile kimomacho, kile kimomacho mama
Kile kimomacho, kile kimomacho mama
[Outro]
Kile kimomacho mama
Nisamehee
(Désolé) Kile kimomacho
Kile kimomacho
Nisamehe
Written by: Israel Onyach, Njerae, Ywaya Tajiri