Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Nyashinski
Nyashinski
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Nyamari Ongegu
Nyamari Ongegu
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Ogopa Djs
Ogopa Djs
Producer
Dennis Papa
Dennis Papa
Mixing Engineer
Kiriama Inthehouse
Kiriama Inthehouse
Mastering Engineer

Lyrics

[Verse 1]
Ni mi Damp, governor wa Shin city
While you've been gossiping I've been busy
Net worth iko high ka sauti ya Kindiki
Ma show ziko packed huezi susu no Diddy
[Verse 2]
Wanasue haina issue no biggie
Big shoes toto kuzi-fill sio easy
I made millionaires, wakakuwa greedy
Wana njaa excess wameshindwa kuistiri
[Verse 3]
Kama stripper, au mafisi
Industry mzima hutry kumove kama sisi
Ona tukimuok wanaingiza baridi
Silver kwa wingi, Shin ni Wanjigi
[Verse 4]
Wamejaribu kuharibu jina imekataa
Nawashinda na akili na chapaa
Choka na story zao za kijinga
Kuja mahali kuna ma-brown ka kabinga
[PreChorus]
Naziletanga vile unataka nizibring (Never lie)
Niko busy nakugidi what you want
Wako itchy wanatry kuingia kwa mix (Never lie)
Busy nakugidi what you want
[Chorus]
Niko busy, number zote busy
Busy sana busy
Busy nakugidi what you want
Niko busy, siku zote busy
[Verse 5]
Touch down, naingia nawin na-go missing
Top tier my dear, my millions I'm eating
Nashiba mpaka mnajiita ma-meeting
Nikiitwa beat inapatanga beating
[Verse 6]
Ni slaps, mi nko na drink huoni glass
Mr Macheez mon nasip joh ni black
Si ati ni jokes au naringa ni facts
Kwangu ile gross wanalipwa ni tax
[Verse 7]
I've been putting in work
Nimekuwa famous for years na ina perks
Ma-young'in waligrow wakiniskia wanarap
Hakuna kitu unaeza niambia naget busy
[PreChorus]
Naziletanga vile unataka nizibring (Never lie)
Niko busy nakugidi what you want
Wako itchy wanataka kuingia kwa mix (Never lie)
Busy nakugidi what you want
[Chorus]
Niko busy, number zote busy
Busy sana busy
Busy nakugidi what you want
Niko busy, siku zote busy
[Bridge]
Naziletanga vile unataka nizibring
Nakugidi what you want
Wako itchy wanatry kuingia kwa mix (Never lie)
Gidi What you want
[Outro]
Niko busy, busy, busy
Never lie
Busy, busy, busy
Written by: Nyamari Ongegu
instagramSharePathic_arrow_out