Music Video

Wakadinali - "Sikutambui" (Official Music Video)
Watch Wakadinali - "Sikutambui" (Official Music Video) on YouTube

Credits

COMPOSITION & LYRICS
Salim Ali Tangut
Salim Ali Tangut
Songwriter
David John Munga
David John Munga
Songwriter
David Munga Ramadhan
David Munga Ramadhan
Songwriter
Churchill Mandela Oganga
Churchill Mandela Oganga
Songwriter

Lyrics

Mbona ni nyinyi nawawasha nikikula nyama choma tufirifiri na Tusker
Bro amejituma ako kazini anaisaka but anajua bibi yake anafanya nini Naivasha?
Woi! Aki si Kenya kuna content nashindwa nidunge chain gani so nazidunga zote
Anataka nimwage ndani mi namwaga kwa matope, si hubonga kilami tukitaka ganji itoke
Normally shembeteng, mamolly kwa Heineken, Mon Ami, you're my friend, we got rich in the ends
Tulimtupa kwa boot si tulimtrace na magun, ka huamini tuko lose ulize **** aling'am
Si ni maburglar for sure na hii si siri, Balaclava huezi nijua kwa CCTV
Bro nikimwambia haskii na ye' si kiziwi, ka si biz utanipata nimesare sikimbizi
Kuna pahali nafaa kuenda na ni sahii, speed flani shwaa, boxer Kawasaki
Njege masanse hawatutaki, ka hunitambui sikutambui
Wazing wako na whaps ka unang'am na mawhaps ka unang'am na mawhaps ka unang'am, na una
Wazing wako na whaps ka unang'am na mawhaps ka unang'am na mawhaps ka unang'am, na una
Bora na waks wathara ukikwara askari wa msitu giz ni kukimbiza maswara
After masjid masti ikilost easich wazing tunapiga baroda na kigwara
Tumbo yoyoto mpoa yazil lombotost hizo mangoto six feet deep, deep ni vile alimarwa
Homeboyz hapana taka mchezo ati nahama tomboys bomboclaat bado unazimarwa
Baroda sare kindipi tukishoot hizo masaa, minus warazi tunaaddingi ma ombre
Sitaki news joh mheshimiwa kuliendaje tena jamaa, divide makazi zitimes-ingi to the jobless
What about QCCBs? How about Gen Z how about that?
What about QCCBs? How about Gen Z how about that?
Kuna pahali nafaa kuenda na ni sahii, speed flani shwaa, boxer Kawasaki
Njege masanse hawatutaki, ka hunitambui sikutambui
Wazing wako na whaps ka unang'am na mawhaps ka unang'am na mawhaps ka unang'am, na una
Wazing wako na whaps ka unang'am na mawhaps ka unang'am na mawhaps ka unang'am, na una
Yoh, tunadrip design tumekuwa maplumber, tunabeef joh, sidhani ka mtaezana
Labda p-stock ama kofi ka ya Anan, pigia Skillo tuchukue maskank ka za das
Mi ni pro kwa hii shit si ati najigas, kuna bro amejipin kiaAP na ni kiwhap
Mwili yangu ya kwanza nilishikanga nikirap, tuko waks kushinda biz wera imetugeuza wasps
Moshi moja ya pili ya utat na unakuf-kuf, tuko holy masoldier, matroop na ma crew-crew
Una makali na graph yetu inaimprove, speed flani Kawasaki nikikam through
Kama lightning, tukijam ni kustrike tu, kuthigitha warazi ndo kitu si hudo
Kuna pahali nafaa kuenda na ni sahii, speed flani shwaa, boxer Kawasaki
Njege masanse hawatutaki, ka hunitambui sikutambui
Wazing wako na whaps ka unang'am na mawhaps ka unang'am na mawhaps ka unang'am, na una
Wazing wako na whaps ka unang'am na mawhaps ka unang'am na mawhaps ka unang'am, na una
Wazing wako na whaps ka unang'am na mawhaps ka unang'am na mawhaps ka unang'am, na una
Wazing wako na whaps ka unang'am na mawhaps ka unang'am na mawhaps ka unang'am, na una
Written by: Alvin Handro, Churchill Mandela Oganga, David John Munga, David Munga Ramadhan, Salim Ali Tangut
instagramSharePathic_arrow_out