Top Songs By Nyashinski
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Nyashinski
Performer
Nyamari Ongegu
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Nyamari Ongegu
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Derrick Bruce
Producer
Kiriama Inthehouse
Mastering Engineer
Lyrics
[Chorus]
Ni stupid kuargue na fools, so siezi argue na fool
Nakaanga cool, naona masnake
Wameona check wakaanza kudrool
Ni kaa wako ma shrooms, najua magoons
Naangusha chwani, unaona platoon
Imekuja mtaani, na wako na tools
[Verse 1]
Ngojeni ni ash nimedi
Relax, niwafanye wasound redikyulass
Mshaharibu wax, siezi watrust
Nyi ni kaa Sunday hamnanga class
Mi siendi loss, acha nicheke
[Verse 2]
Unaongea ni kaa we ni boss?
Unadai kulipwa ni kaa we ndio boss
Na unaniitanga Munene?
Hehe
[Verse 3]
Hamjui nani mmecross
Ask your sources nani ndio source
Nyi ni kaa breakfast, nyi wote ni matoast
Sausage samos, hamna asante
[Verse 4]
Cash cow, kaa hatulipani ma agent
Wanaendesha aje maporsche?
Kimbia kwa blogs
Enda ukatafte public support
Ubuy nayo mkate
[Verse 5]
Circle ni small wareal ni wafew wengi ni ma actor
Nimeskia iko mtu wa mkono analia ati anataka kulipwa kama contractor
Hao ni ma cancer
[Verse 6]
Mfereji imefungwa, kama hiyo chapter
Acha saa tuone nani atakukanja
Vile hapa ulikuwa unakanjwa
Unakula bars ni ka umedandiwa
Tunaongelea character si ata maziwa
Lines zinapiga unaona tu red kalilie masoja
Unavamiwa, wow!
[Verse 7]
Ni stupid kuargue na fools
So siezi argue na fool
Nakaanga cool, naona masnake
Wameona check wakaanza kudrool
Ni kaa wako ma shrooms najua magoons
Naangusha chwani unaona platoon
Imekuja mtaani na wako na tools
[Verse 8]
Shin Chilla leo niko kazi
Na sina patience ya fitina
Whisky namimina, black
Fuck hawa maduanzi
Hao ni ma mbilikimo wamesmama kwa shoulder za Shaq
[Verse 9]
Tamaa ya ganji
Inafanya bp inapanda wivu inakupea heart attack
Wanaomba maji
Na hata sijamaliza kuwapepeta hii ni
Counter attack ati mnatry?
Ati kuniharibia image? Fuck hiyo image
[Verse 10]
Tuongee ukweli
Naongea mavi unanusa sewage?
Hatufanani, hatutoshani
Unalisha family, nalisha village
Nakuanga boss, unakuwanga worker
Media ikikuita waambie hiyo ndio leakage
[Verse 11]
Chungana na ras
Gold ndio color kwa glass
Madranya wananiona wanablush
Drip ya hawa mafala inaclash
Shin ndio jina mafan wanatrust
Udaku ni ufala heshima ni must
Gossip ni ufala, heshima ni must
[Verse 12]
Na ukipima na crash
Unakula bars ni ka umedandiwa
Tunaongelea character si ata maziwa
Lines zinapiga unaona tu red kalilie masoja
Unavamiwa, wow!
Written by: Nyamari Ongegu