Credits

PERFORMING ARTISTS
Trio Mio
Trio Mio
Performer
Fathermoh
Fathermoh
Performer
Zzero Sufuri
Zzero Sufuri
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Tj Mario Cassella
Tj Mario Cassella
Songwriter
Anthony Osore
Anthony Osore
Songwriter
Moses Otieno
Moses Otieno
Songwriter
Jeremiah Chege
Jeremiah Chege
Songwriter
Vic West
Vic West
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Vic West
Vic West
Producer

Lyrics

Vic twende
Yoh yoh
Aaanhuh
Zzero
Very nice
Kama sauce, mi ndo source, mi ndo boss
Mi ndo, eh
Rengwa
(Rengwa)
Wada na masteam adi rengwa
Gwethe zimeshika na sitemi ni mapema
Nduku si ikidim si unasema
Ingine inaenda chain very fast adi rengwa
(Rengwa)
Wada na masteam adi rengwa
Gwethe zimeshika na sitemi ni mapema
Nduku si ikidim si unasema
Ingine inaenda chain, inaenda chain
Aluta irudi na izoze, shisha mi nadai kuivuta
(Adi rengwa)
Haudai boy maskini, na nginyo unalia unadai
(Adi rengwa)
Bash imechrome na mamzinga na mavela
Na ketepa majani tunajinyuria
(Adi rengwa)
Zone nakaivisha na mamkwela wamejitepa
Na wanasema watabaki zilipuke
(Adi rengwa)
Tunalips
Nacheza na tits
Kamepiga squats kako na bunda legit ah
Ratio ya waist nalinganisha na hips mmh
Ju ni kasnack nakadembuka na dip
Fine thank you, hii ni mali ndechu
Ulizaliwa ukisneeze and the universe blessed you
Facecard spot on, kamini kwa bottom
Makucha ni mastick-ons, kibeti ni ya stoko
Na tunaziwasha
Rengwa (Rengwa)
Wada na masteam adi rengwa
Gwethe zimeshika na sitemi ni mapema
Nduku si ikidim si unasema
Ingine inaenda chain very fast adi rengwa
(Rengwa)
Wada na masteam adi rengwa
Gwethe zimeshika na sitemi ni mapema
Nduku si ikidim si unasema
Ingine inaenda chain, inaenda chain
Aluta irudi na izoze, shisha mi nadai kuivuta
(Adi rengwa)
Haudai boy maskini, na nginyo unalia unadai
(Adi rengwa)
Bash imechrome na mamzinga na mavela
Na ketepa majani tunajinyuria
(Adi rengwa)
Zone nakaivisha na mamkwela wamejitepa
Na wanasema watabaki zilipuke
(Adi rengwa)
Rengwa ndo mi hurealize siko kwangu
Nilichotwa na dem anakaa managu waruu
Cheki amenichai (amenichai)
Huku dando
Mbona sikucheki hizo braids colour purple
Rengwa mi hurausha
Rengwa nakausha
Rengwa mi nazamisha
Nazima mashamsham (Poa)
Emoji za maji zina (Poa)
Sijamshika asha (Poa)
Na Father akibonga (Poa)
Kanazoza adi rengwa
Rengwa (Rengwa)
Wada na masteam adi rengwa
Gwethe zimeshika na sitemi ni mapema
Nduku si ikidim si unasema
Ingine inaenda chain very fast adi rengwa (Rengwa)
Wada na masteam adi rengwa
Gwethe zimeshika na sitemi ni mapema
Nduku si ikidim si unasema
Ingine inaenda chain, inaenda chain
Aluta irudi na izoze, shisha mi nadai kuivuta
(Adi rengwa)
Haudai boy maskini, na nginyo unalia unadai
(Adi rengwa)
Bash imechrome na mamzinga na mavela
Na ketepa majani tunajinyuria (Adi rengwa)
Zone nakaivisha na mamkwela wamejitepa
Na wanasema watabaki zilipuke (Adi rengwa)
Hizi vitu tunaduu msirecord, kwanini?
Tunaeza trend tena (Adi rengwa)
Sina ware na niko indoors walai
Tafteni mishale tutabuy ingine (Rengwa)
Hauna form unachengwa mapema
Sikunywi leo kitu yoyote iko chini ya tenga
Hapo unazima unazimia kwa meza
Hii ni Azimio uliza Maina wa Njenga
Bado mi narep Kawarengwa
Ka hujawai ishiwa na matawi, hujui vile ku'uwenda
Ukiona mi nakesha nimejengwa nimejipanga na matools
Za hadi kesho (Rengwa)
Vile umejibeba ndo utabebwa
Ka we ni mjanja unajua vile utajijenga
Rengwa (Rengwa)
Wada na masteam adi rengwa
Gwethe zimeshika na sitemi ni mapema
Nduku si ikidim si unasema
Ingine inaenda chain very fast adi rengwa (Rengwa)
Wada na masteam adi rengwa
Gwethe zimeshika na sitemi ni mapema
Nduku si ikidim si unasema
Ingine inaenda chain, inaenda chain
Aluta irudi na izoze, shisha mi nadai kuivuta
(Adi rengwa)
Haudai boy maskini, na nginyo unalia unadai
(Adi rengwa)
Bash imechrome na mamzinga na mavela
Na ketepa majani tunajinyuria (Adi rengwa)
Badness!
Written by: Anthony Osore, Jeremiah Chege, Moses Otieno, Tj Mario Cassella, Vic West
instagramSharePathic_arrow_out