Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Fathermoh
Fathermoh
Performer
Harry Craze
Harry Craze
Performer
Trio Mio
Trio Mio
Performer
Moses Otieno
Moses Otieno
Lead Vocals
Harry Otieno
Harry Otieno
Rap
Victor Armani
Victor Armani
Programming
COMPOSITION & LYRICS
Moses Otieno
Moses Otieno
Songwriter
Harry Otieno
Harry Otieno
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Vic West
Vic West
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Niko magodede nacheki tuh mawetete
Fantasty kwa kichwa, ni jaba tuh na kasekete
Ka rada ni chafu safisha piga makelele
Hakuna kulalisha lazima tupige sherehe
[Verse 2]
Ah tuko mawhat na mawar china
Ka ni mistari na ni kali cheki boss nina
Manzi anaringa sana na venye anaforce figure
Na nina sura fiti sana ata kumshinda
[Verse 3]
Tumeomoka Tobacco sai tunaisunda kwa pochi
Pesa ka si mingi hazisundwagi kwa pochi
Nilichange gari wakilalanga kwa kochi
Ulisoma udaktaki sai ati unaitwa soshi
[Verse 4]
Na mguu ikikikataa lewa, tumia kichwa, tumia kichwa
Tumia kichwa, tumia kichwa, tumia kichwa
Bro hujui kudance aje, tumia kichwa
Na mguu ikikataa lewa, tumia kichwa, tumia kichwa
Tumia kichwa, tumia kichwa, tumia kichwa
Bro hujui kudance aje, tumia kichwa
[Verse 5]
After kissing foreplay tunatumia kichwa
Ginyo ratata chomoa riswa
Thumbnail chezea chezea ni ka ni guitar
Anakuita kwake mwenye rent anajileta
Nguvu za budesco tunaita mbichwa
Uko na umama tunakuita Kinuthia
Hiyo si designer hiyo ni tommy sifa
Bro huniboo nakushow unanisinya
Chomoa kichwa tingisha kichwa
Tema saliva sasa angusha kichwa
Chomoa kichwa tingisha kichwa
Tema saliva sasa angusha kichwa
[Chorus]
Na mguu ikikikataa lewa, tumia kichwa, tumia kichwa
Tumia kichwa, tumia kichwa, tumia kichwa
Bro hujui kudance aje, tumia kichwa
Na mguu ikikataa lewa, tumia kichwa, tumia kichwa
Tumia kichwa, tumia kichwa, tumia kichwa
Bro hujui kudance aje, tumia kichwa
[Verse 6]
Huboeka hadi nguvu ati unatafuta doh tumia kichwa
Wasomi ndio wamekosa majob uzia mzinga
Tulia mziza eeh kujia mrista
CV kama haileti kakitu kujia mtita
[Verse 7]
Mguu ikikataa tunacheza na mwongo
Songa na tempo aah dunda kudonjo
Mamio mio mio stua kidogo
Na ikibamba sana unaguza kisogo
Kiwadada kivelo na kinjataba
Machingri zimekanashi mashola zimegwantana
Rhumba kamejaza stakabadhi na mapantaja
Ni nani mwingine badder dan doba nazi masacre Trio Mio
[Verse 8]
Na mguu ikikikataa lewa, tumia kichwa, tumia kichwa
Tumia kichwa, tumia kichwa, tumia kichwa
Bro hujui kudance aje, tumia kichwa
Na mguu ikikataa lewa, tumia kichwa, tumia kichwa
Tumia kichwa, tumia kichwa, tumia kichwa
Bro hujui kudance aje tumia kichwa
Written by: Harry Otieno, Moses Otieno
instagramSharePathic_arrow_out