Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
B2k Mnyama
B2k Mnyama
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Batwely Kinyunyu
Batwely Kinyunyu
Songwriter

Lyrics

MIMI
Kama ni simu ungeipokea
misikupenda ulale na njaaa
afu tuko sawaaaaa
na mie huku nashinda na njaa
 kuhusu muziki ndio nakalibia
mimi ku hit usiwaze mamaaa
tutaenda sawa eeh
utaiacha michicha dagaa
kwenye maisha yangu
maombi yako ndio yana fanya mie nifike mbali
wanao tuombea shida hawajui tumetoka ugari mkavu na kachumbali
kwenye ubongo wangu ndoa ndio kitu pekee nacho tafari wale wa vina muda
walipiga ndelw si daily tuna swali
so tutoke mbali afu tuje tuachane
bby afadhar nikikosa unisemee
so tutoke mbali afu tuje tuachane
bby afadhar ukikosa nikuseme
mimi
acha tu niwe wako
mimi
kipenzi cha moyo wako
yan chaguo lako ooh
nimekubali kuishi chumba singo
ila nisiwe singi wamapenziii
nasubuli nikipata bingo
nitajenga chumba sebure utaendesha
benziii
ntakubembeleza na nyimbo
maana hakuna jipya tusha yafanya mengi
hvi ndo nlivyo nilivyoo wanao sema sina ntakupa mapenzi
hivyo hivyo ongeza malingo
najua wanao kutaka wengi
hivi ndo nilivyo maana
husema sina ntakupa mapenzi
so tutoke mbali afu tuje tuachane
bby afadhar nikikosa unisemee
so tutoke mbali afu tuje tuachane
bby afadhar ukikosa nikuseme
mimi
acha tu niwe wako
mimi
kipenzi cha moyo wako
yan chaguo lako ooh
Written by: Batwely Kinyunyu
instagramSharePathic_arrow_out