Top Songs By Ambulance Amos
Credits
PERFORMING ARTISTS
Ambulance Amos
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ambulance Amos
Songwriter
Lyrics
Nisamehe
Intro
Jajojoo
Mbombo boy mbombo
Ambulance boy
Jajojo music
Eeh less go
Vers
Sina jingine zaidi ya radhi mama weeee
Honey nakuomba wako msamaha nijue
Sina jingine zaidi ya radhi mamaweee
Mbeya wawaske baby twende mimi naweee
Post zako mama nakonda nikikuona
Amini bado nakupenda bebiiiiii
Post zako mama nakonda nikikuona
Sikiliza sauti ina huzuni ya amosiiii
Kosa mamaa kurudia tenaa
Njoo mamaa bebi njoo tucheze reggae
Kosa mamaa kurudia tenaaa
Njoo mamaa abho bhaleke bhanjobhegee
Bridge
Sina jingine zaidi ya radhi mamaweee
Honey nakuomba wako msamaha nijue
Sina jingine zaidi ya radhi mamawee
Mbeya wawaske bby twende mimi naweee
Chorus
Umeumiza moyo wangu kwakuuuu
Kwa kukuwaza babby
Ona nakonda nateseka nakuuu
Nakulilia lady
Kosa mamaa kurudia tenaa
Nisamehe mamaa
nisamehe mamaa
nasema kosa mamaaa
kurudia tena
nisamehe mamaa
nisamehe mamaa
nisameheeee
vers
japo kalenda
ningoje ifike
nipo tayar kukupa chochote
nilianzisha hii vita siwezi eeeh
ona natubu kwa hisia za reggae
post zako mama
nakonda nikikuona
amini bado nakupenda baby
na picha zako mama
nakonda nikiziona
sikilizaq sauti ina huzuni ya amosiii
chorus
Umeumiza moyo wangu kwakuuuu
Kwa kukuwaza babby
Ona nakonda nateseka nakuuu
Nakulilia lady
Kosa mamaa kurudia tenaa
Nisamehe mamaa
nisamehe mamaa
nasema kosa mamaaa
kurudia tena
nisamehe mamaa
nisamehe mamaa
nisameheeee
VERS
Haya mapenzi makalio ya sufuria
Haya ogopi moto ndio maana tushazoea
Natubu baby na goti na piga pia
Kosa si kosa bali kosa kurudia
Haya mapenzi makalio ya sufuria
Haya ogopi moto ndio maana tushazoea
Natubu baby na goti na piga pia
Kosa si kosa bali kosa kurudia
bridge
Kosa mamaa kurudia tenaa
Ni samehe ni samehe mamaa
Nasema kosa mamaa
Nasema kosa mamaa
Kurudia tena
Nisamehe mama nisamehe mama
Nisamehe
Jwiz
Mwisho.
Written by: Ambulance Amos