Music Video

Dayna Nyange - Washa (Official Audio)
Watch Dayna Nyange - Washa (Official Audio) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Dayna Nyange
Dayna Nyange
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Dayna Nyange
Dayna Nyange
Songwriter

Lyrics

Na lose contro, lose Control ooh
Ukinitomasa unanichanganya Na lose control
Give me some more Give some love ho ho ho
Unayonipa tamu sana yaani Show show ooh
Napata raha sana ukinikumbatia
Wanifikisha Haraka kama Bombardier
Ah Nain’gan’gania Hata kilimani unaichange gear
Bridge
Baby ngoma imevuma naogopa isije pasuka
Pasuu
Ni mwili kwa chuma, gonga gonga upasue kichupa
Chorus
 leo hakuna kujibana , Washa washa washa
More yeah me nataka tena, Washa washa washa
Yaani leo hakuna kujibana, Washa washa washa
Aaah yea me nataka tena, Washa washa washa
 Verse 2
Yes you know i will be there for you,baby there for you
And iknow you will be there for me,baby there for me baby there for me yeah
Teketeke umeniteka ukichoka kitandani nilaze kwenye mkeka yeah
Kama maji nachoteka dragon queen Ki potable nabebeka ooh yeah
Anataka nisasambue sasa, sasaambu
Na anataka nimpakulie Papa, Na changuu
 Bridge
Baby ngoma imevuma naogopa isije pasuka
Pasuu
Ni mwili kwa chuma, gonga gonga upasue kichupa
Chorus
 leo hakuna kujibana , Washa washa washa
More yeah me nataka tena, Washa washa washa
Yaani leo hakuna kujibana, Washa washa washa
Aaah yea me nataka tena, Washa washa washa
Written by: Dayna Nyange
instagramSharePathic_arrow_out