Top Songs By Victoria Zabron
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Victoria Zabron
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Elisha Gurlat
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Zakayo Sindwani
Producer
Lyrics
Kama machozi yangeweza kusimulia namna gani moyo unatunza mengi,
Kama machozi yangeweza kusimulia namna gani moyo unavumilia,
Moyo umebeba jeraha zangu, heeeh moyo umebeba huzuni zangu
Moyo umebeba furaha yangu, heeeh moyo umebeba ushindi wangu
Kuna muda kinywa kinatabasamu lakini moyo unalia
Kuna muda macho yanafurahi lakini moyo unalia
Nitaulinda –moyo- moyo -moyo ooh.
Mungu baba yangu nifute machozi yangu mimi
Waujua moyo wangu nifute machozi yangu mimi
Waujua moyo wangu nigange jeraha zangu nibaki salama
Mungu babaa yangu nifute machozi yangu nibaki salama.
Written by: Elisha Gurlat