Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Zorah
Lead Vocals
DJ Kassu
Music Director
COMPOSITION & LYRICS
Zorah
Lyrics
DJ Kassu
Arranger
H-D
Composer
Rajabu Ally Rajabu
Songwriter
Kassumpa Adrian Machati
Songwriter
Hamad Said Mbaraka
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
DJ Kassu
Producer
H-D
Producer
Lyrics
Ukweli sio sawa anayonifanyia ye anaona sawa
Bora angekuwa muwanga ama amepiga ndulele amenyunyizia dawa
Kweli nakonda kwa haya amenitenda vibaya inachosha
Kweli kupenda kubaya linanishinda neno inatosha
Oh! Oh Mapenzi yananivuruga mwilini na homa
Nitapata wapi wa kunitibu nipate afadhali kupona (mh)
Mapenzi mabaya na ndani nilimfuma kwani nilimfanya nini
Na mapenzi ndo haya aliyoniahidi yananitesa mimi
Anayofanya leo niliona kwa movie yaani siamini
Anayonifanyia sio sawa
Sio sawa
Mwambie
Mwambie
Mwambie (eeh)
Mwambie
Mwambie
Mwambie (eeh)
Mwambie
Mwambie
Mwambie (eeh)
Mwambie
Mwambie
Mwambie (eeh)
Nimeumbwa kwa udongo machozi yanitoka namomonyoka
Nimeumbwa kwa udongo kwa udongo mie (eeh)
Mie najikazakaza na maumivu kwangu ndani moyoni
Mie samaki baharini machozi kwangu hata hayaoni
Basi angeniweka wazi (wazi) nipo jela au mahabusu
Na nimemisi vituko ndani aliponipiga mabusu
Leo amenipiga telo (telo) shingo kawekea kisu
Oh! Oh Mapenzi yananivuruga mwilini na homa
Nitapata wapi wa kunitibu nipate afadhali kupona
Mapenzi mabaya na ndani nilimfuma kwani nilimfanya nini
Na mapenzi ndo haya aliyoniahidi yananitesa mimi
Anayofanya leo niliona kwa movie yaani siamini
Anayonifanyia sio sawa
Sio sawa
Mwambie
Mwambie
Mwambie (eeh)
Mwambie
Mwambie
Mwambie (eeh)
Mwambie
Mwambie
Mwambie (eeh)
Mwambie
Mwambie
Mwambie (eeh)
Oh! Oh Mapenzi yananivuruga mwilini na homa
Nitapata wapi wa kunitibu nipate afadhali kupona (Mie eeh)
Mie (eeh)
Written by: DJ Kassu, H-D, Hamad Said Mbaraka, Kassumpa Adrian Machati, Rajabu Ally Rajabu, Zorah