Lyrics

Buda, buda, buda, buda, smamisha iyo kitu, ama nikushow vile chuma inashuta
Usifanye nikutumie tenje walenje mkwanja ndula, tupa!
Alafu nyamazisha huyo msupa, mi nikinyambisha katanuka, naeza kalilisha juu ya pupa, buda!
Smamisha iyo kitu, ama nikushow vile chuma inashuta, usifanye nikutumie tenje walenje mkwanja ndula, tupa!
Alafu nyamazisha huyo msupa, mi nikinyambisha katanuka, naeza kalilisha juu ya pupa, buda!
Show mshi wa kwako afyate, ukitry kuwa hero utashtuka! Manduru akazipige kwa kitanda, right ya kilo itamkuta, G-B-V
Unadhani hizi ni vipindi za TV G? Wangapi wako six feet deep juu ya kuthink wako quick, wrong move naku-click-click bing!
Usijifanye champee, niko na fee, mjanjez, sema tu ng'wee
Buda we si Jackie Chan, bado we ni kijana na nataka ukuwe mzee, mfuko uko na shigana? Zitoe zote inje teke
Bazenga mzima uko na finje pekee? Na tenje ni kabambe, unataka nikushande ya bure na nifinye senke? Wee ni bombo nini?
Umesunda maziwa na piwa ndakupee za ubongo mbili, alafu haka kadem kataliwa kalazwe kwa udongo chini
Sisi ndo madogo mjini, lazma utiii, kusanya masonko weekly, baridi kwa mgongo, mpini, rada ni mzing?
For real, Broski kill hiyo pressure, kwa hii shit si ni maprofessor
Hawabebi cash siku hizi mwambie akupee PIN ya Mpesa, oh yes nimeshajitepa, smile kwa face unaassume nacheka
Siku hizi hatuchapani ngeta, I'm reckless naeza tumia seska
Yo leta hiyo phone buda leta hiyo goro, ndula socks na naenda na mroro, atalia gosh akiona hiyo koro
Anaanza na balls akinyonya hiyo ***, boss of course hiyo rende ni wrong
Utakula dust before ulete usoo, ntadedi na itoks ama niende na mob, before niende job lazma nibonge na God
Gai si we ni Scar miuskiza ngoma zako many times, bitch nyamaza nyenyenye must ntakumada ata kama wee ni fan
Mwili tunawacha hapa Jeri sai, siwezi rudi jela any time (Gunshots) kwaheri fam, **** tunamjua huyu ni Jerry, gai!
Buda,buda, buda, buda, smamisha iyo kitu, ama nikushow vile chuma inashuta
Usifanye nikutume-tenje walenje mkwanja ndula, tupa!
Alafu nyamazisha huyo msupa, mi nikinyambisha katanuka, naeza kalilisha juu ya pupa, buda!
Smamisha iyo kitu, ama nikushow vile chuma inashuta, usifanye nikutumie tenje walenje mkwanja ndula, tupa!
Alafu nyamazisha huyo msupa, mi nikinyambisha katanuka, naeza kalilisha juu ya pupa, buda!
Written by: Tj Mario Kasella
instagramSharePathic_arrow_out