Music Video

KRG The Don Feat. @Darassamusic - Unashida Gani (dance video one take)
Watch KRG The Don Feat. @Darassamusic  - Unashida Gani (dance video one take) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Krg The Don
Krg The Don
Performer
Darassa
Darassa
Performer
COMPOSITION & LYRICS
stephen karuga kimani
stephen karuga kimani
Songwriter
Shariff Thabit Ramadhan
Shariff Thabit Ramadhan
Songwriter

Lyrics

[Intro]
Touch (Touch)
Una shida gani
Una shida gani
Una shida gani
[Chorus]
Unapiga simu huongei (Una shida gani)
Ukipigiwa hupokei (Mwenzetu una shida gani)
Naona umenitext mbona umefuta message (Una shida gani)
Good morning jirani salamu kitu cha bure (Una shida gani)
Kudanganya watu unatoka na Vicky, wee
Hutaacha lini mambo ya kiki
Hata kwenye ugomvi unakuwa shabiki,
Haubadiiliki, hauambiiliki (Una shida gani)
[Verse 1]
Naskia walishatoa na posa
Na za chinichini unapanga kumtosa
Kila kukicha unalia na mwamposa na unajua anawapanga kwenye dosa
[Bridge]
Mwenzetu una shida gani
Una shida gani
Una shida gani
[Verse 2]
Plan A B na C (plan A B na C)
Jina Krg (Jina Krg)
You’re the one who hate me
Mi hata sikufikiri (Wala sikufatilii)
Am to pm umekaa kaa
Kula kulala kujamba ja nja
Kesho unalialia njaa kwa mitaa we jamaa na jana ulikesha bar
[Verse 3]
All I need is 1 mic Ziggy Dee
Naongea na wakenya waniski
Naongea na serikali uchumi ni zii
Kwenye nchi hii, eh (Kunashida gani)
Haya maisha hayataki utani
Haya maisha yanataka ramani
Vipi? Unachoma majani, unasoma gaziti gani
Mbona hautoki msalani huko ndani? (Kuna shida gani)
[Chorus]
Unapiga simu huongei (Una shida gani)
Ukipigiwa hupokei (Mwenzetu una shida gani)
Naona umenitext mbona umefuta message (Una shida gani)
Good morning jirani salamu kitu cha bure (Una shida gani)
[Verse 4]
Ntakuja kuua jitu siku mtaskia
Unatabia tabia ngumu kuvumilia
Indicator kushoto unakata kulia
Kua makini sana weka macho kwenye njia
[Outro]
Na njie wenye majipu mkae kwa kutulia
Doctor nakuja na majibu kuwahudumia
Ukitaka viboko nakucharazia
Ukileta utoto nakukanyagia eh!
Mbona kichwa kimepinda-pinda unashida gani?
Mbona mambo ya kijinga-jinga unashida gani?
Plan A B na C
Written by: Shariff Thabit Ramadhan, stephen karuga kimani
instagramSharePathic_arrow_out