Top Songs By Rico Gang
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Rico Gang
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Harry Otieno
Songwriter
Joseph Nyamwea
Songwriter
Mike Makori
Songwriter
Moses Otieno
Songwriter
Wilson Omondi
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Magix Enga
Producer
Lyrics
Ati eeh, banjuka ni kama unarusha mamikono eeh, tingisha kichwa chunga usivunje kisogo
Teremka-teremka ka kono-kono, basi ni kionjo twende mamiondoko
Mamio-mio-mio-mio miondoko, eeh mamio, mamio mamiondoko
Mamio-mio-mio-mio miondoko, saa si inadonjo wah ni kumoto
Mamio-mio-mio-mio miondoko, eeh mamio-mio-mio miondoko
Mamio-mio-mio-mio miondoko, saa si inadonjo wah ni kumoto
Ati kale kadance cheki kale kadance, kwanza ukiwa kijaba ndo unapewa kichance
Slow but sure na ukizitoka unarelax, rusha mikono juu ni kama hujui kudance
Ah, toa kofia na mkono wa kulia, pa, panguza kihara bas na utoe kijasho
Moonlight love kwa jua na mpango wa kando, ndo-ndo ndo kisianda mmeitana
Mamiondoko mami si poko, ka kuna njoti tunaachana na popcorn
Ongeza flow doh ju tumedonjo, alisema ni fastee but hio uongo
Si kienyeji huyo dem ni mwitu, see through niliacha chuo nipe kip2
Hii tu ndani ya msitu iko na jitu, please tu nimemada Harry washow kitu
Mamio-mio-mio-mio miondoko, eeh mamio-mio-mio miondoko
Mamio-mio-mio-mio miondoko, saa si inadonjo wah ni kumoto
Mamio-mio-mio-mio miondoko, eeh mamio-mio-mio miondoko
Mamio-mio-mio-mio miondoko, saa si inadonjo wah ni kumoto
Round za mtaa nikapata Mia Khalifa, mia kadhaa, mami mia akanipa
Pale kwa local kwa ile mbogi ya FIFA, teremsha-teremsha angusha ka ka-litre
Alikula face, girimba alikuja face na rira, na tuko East tuliza venye alifanywa
Miondoko lazima ondoka kama umezima, uliza Harry Craze venye alifanya
Alichoma mbogi wakadai kuokoka, hapa ka hujui kudance ni urudi kule umetoka
Ndani ya club first na wa mwisho kutoka, Rombosea boy fisi ka kiuno ina motor
Oka, one night na mimi unaomoshwa, miondoko funny tu kama kwako umeosha
Ukikam bash bila potty unaondoka, vunja mifupa miondoko bado stopper
Eeh mamio-mio-mio-mio miondoko, eeh mamio-mio-mio miondoko
Mamio-mio-mio miondoko, saa si inadonjo wah ni kumoto
Mamio-mio-mio-mio miondoko, eeh mamio, mamio miondoko
Mamio-mio-mio miondoko, saa si inadonjo wah ni kumoto
Banjuka ni kama unarusha mamikono eeh, tingisha kichwa chunga usivunje kisogo
Mamio-mio-mio-mio miondoko, mamio, mamio miondoko
Mamiondoko, mamio-mio-mio miondoko
Written by: Harry Otieno, Joseph Nyamwea, Mike Makori, Moses Otieno, Wilson Omondi