Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Swat Matire
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Boniface Mwangi
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
David Bell
Producer
Lyrics
Bad girl na ukona bad manners (zii)
Sikuizi unacheat na huyu mjamaa(zii)
Hujai niambia ukona bwana(zii)
Nashuku sana unanidanganya(zii)
Bad man wacha kujam sana please
Huyu **** mi hata simjui
Ati humjui Aii mi simjui
Ati humjui Aah aah simjui
Ati unijui Aii mi sikujui
Ati unijui mi walai sikujui
Tabia zako sikuizi zimekuwa za kuhanya
Jitetee sahii tu ju nishakupata
Mi hukubali makossa hii nayo nimekana
God one mi na huyo morio tuliwachana
Mi hata staki kujua, we ishia
Mi sipimbi huezi ning'ora
Hapana acha mambo naeza explain
Huniamini unataka kunipiga chain
Bad girl na ukona bad manners (zii)
Sikuizi unacheat na huyu mjamaa (zii)
Hujai niambia ukona bwana(zii)
Nashuku sana unanidanganya(zii)
Bad man wacha kujam sana please
Huyu **** mi hata simjui
Ati humjui Aii mi simjui
Ati humjui Aah aah simjui
Ati unijui Aii mi sikujui
Ati unijui mi walai sikujui
Haloo ha ha haloo siuniskie please
Mi niko busy na ukona audacity
Kwani unafanyanga kwa mortuary
Nikushike alafu unicall kwani umechizi
Mimi hata kama nitaolewa na harusi
Nilikushow mimi ni wako joh hadi mazishi
We ni mafi nini aah unaniboo
Kwanza delete hii number
Kiasi wacha nikushow
Namtambua lakini ninakupenda more
Haha
Ule bad girl akona bad manners
Si alikuwa anacheat na we bana
Hajai niambia akona bwana
Nilishuku ananidanganya
Ule bad girl akona bad manners
Si alikuwa anacheat na we bana
Hajai niambia akona bwana
Nilishuku ananidanganya
Written by: Boniface Mwangi