Top Songs By Tanasha Donna
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Tanasha Donna
Vocals
Diamond Platnumz
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Tanasha Donna
Composer
Diamond Platnumz
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Siraju Hamisi Amani
Producer
Lyrics
Ati unapenda kuni kikupa mpaka morning, nikipekenya-pekenya nisiwahi nichelewe
Kikuchum mdomoni, touchi touchi kiunoni, mi natekenya-tekenya nakufanya ulewe
Ooh you are my sweet chocolate oh star, sorry I can't contemplate all life
And baby gotta write for me and show me that you are mine
I'm a go downtown for you, call you king put a crown on you
And baby take your time with me, it is all I crave for now
Asa show me ile kitu amekupa mama ebu chutama
Kama inazama nikupige chenga kwa dana-dana, tuwafunge kelele (Aiyayaya)
Jioni usiku mchana jua likizama tuanze kandanda
Nikuonyeshe kile amenipa mama, so wafunge kelele maana wanaona
Wanaona gere, wanaona gere, wanaona gere, wanaona ge, ge-ge-ge
Wanaona gere, wanaona gere, wanaona gere, wanaona ge, ge-ge-ge
Don't you ever leave me solo or disappoint me with this basic hole
You make my heart go loko-loko, utawapa misemo wa noko-noko
And you better tell them that you mine, the better thing I rather die
Kabla ya kuwika jogoo, asubuhi niamshe na kiboko
Mama kasema mwali mwana nimepata nitulie simba
Ooh nitulie simba, ooh nitulie simba
Zile chenga vidangadana vicheche nichunie simba
Ooh nichunie simba, ooh nichunie simba
Asa baby wangu show me ile kitu amekupa mama ebu chutama
Kama inazama nikupige chenga kwa dana-dana, tuwafunge kelele (Aiyayaya)
Jioni usiku mchana jua likizama tuanze kandanda
Nikuonyeshe kile amenipa mama, so wafunge kelele (Maana wanaona)
Wanaona gere, wanaona gere, wanaona gere, wanaona ge, ge-ge-ge
Wanaona gere, wanaona gere, wanaona gere, wanaona ge, ge-ge-ge
Asa baby nikomeshee, katii katika (Kataa), kati, kati katika (Kataa)
Donna katika (Kataa), ooh baby katika (Kataa)
When you hold on to me (Kataa), when you follow my lead (Kataa)
Moving side to side baby (Kataa), ooh kati (Kataa)
Written by: Diamond Platnumz, Tanasha Donna