Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Zuchu
Zuchu
Vocals
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Zuchu
Zuchu
Composer
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Composer
Nasibu Abdul Juma Issaack
Nasibu Abdul Juma Issaack
Songwriter
Zuhura Othman Soud
Zuhura Othman Soud
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Eti amina, dua zimeitikiwa
Ashtuti nije kupa mali yako
Ooh fanya hima, mwenzako nimezidiwa
Mahututi nasubiri tiba yako
[Verse 2]
Na nisipo kuona na raha nakosa
Situlii mpaka unikumbate darling
Ooh kiranga chote mi koma, ukianza dear
Shughuri kwisha yangu habari
[Verse 3]
Eti unanipenda mi (Mnmhn)
Unanitaka pia (Mnmhn)
Unaniamini (Mnmhn)
Na umeniridhia
[Verse 4]
Ooh unanipenda mimi (Mnmhn)
Unanitaka pia (Mnmhn)
Unaniamini (Mnmhn)
Na umeniridhia
[Chorus]
(Mnaosubiri tuachane) Mtasubiri sana mtasubi
(Ooh mtangoja) Mtasubiri sana mtasubi
(Wanaosubiri tuachane) Mtasubiri sana mtasubi
(Vuteni kiti mkae) Mtasubiri sana mtasubi
[Verse 5]
Ooh baby mi mwenzako njiwa wa kufugwa
Ooh baby vya chakuchaku vitanifuja
Ooh baby mie wa pwani mzawa wa unguja
Ooh baby penzi laini sitoi buja
[Verse 6]
Na moyo nimeshaweka kwako nanga
Wanajisumbua kukesha kwa waganga
Mbona bado na presha zitawashuka na kupanda
Tena deka we shaukwa baby tamba
[Chorus]
Ooh kama unanipenda mi (Mnmhn)
Unanitaka pia (Mnmhn)
Unaniamini (Mnmhn)
Nakuniridhia (Mnmhn)
Unanipenda mimi (Mnmhn)
Unanitaka pia (Mnmhn)
Unaniamini (Mnmhn)
Na umeniridhia
[Chorus]
(Manaosubiri tuachane) Mtasubiri sana mtasubi
(Mtakesha) Mtasubiri sana mtasubi
(Mtandike jamvi mukae) Mtasubiri sana mtasubi
(Mtaa oh) Mtasubiri sana mtasubi
[Outro]
Wanasema Simba meniroga (Ni kweli ila inawahusu nini)
Hunipendi Unanichuna (Ni kweli ila inawahusu nini)
Eti anasema wewe ni kicheche (Nikweli ila inawahusu nini)
Utanichezea kesho uniache (Nikweli ila inawahusu nini)
Written by: Nasibu Abdul Juma Issaack, Zuchu, Zuhura Othman Soud
instagramSharePathic_arrow_out