Top Songs By OCHUNGULO FAMILY
Lyrics
Rule number one how can you be africa na unaekea
MCA wako mapiri piri kwa macho
Eeehhh
Si hiyo ni kirimino
Hiyo ni kirimino
Si hiyo ni kirimino
Hiyo ni kirimino
Si hiyo ni kirimino
Hiyo ni kirimino
Si hiyo ni kirimino
Hiyo ni kirimino
Hiyo ni kirimino kama ndlama buda boss kama vindeo
Mi nacheki blue we unacheki indigo
Nakupenda ata ukiniita indiot
Aaii!
Hiyo ni kirimino ukirombosa ile part more critico
Ukidai can we get more physico
Ukiwasha gode past baze scenico
Hiyo ni kirimino
You are kirimino
Nitakupata pale mbele kwenye pinaco
Leo Nairobi kesho nakucheki Singapore
Uku kwetu Jo! si karibu na liquor store
Aaii!
Si hio ni kirimino
Hiyo ni kirimino
Si hio ni kirimino
Hio ni kirimino
Si hio ni kirimino
Hio ni kirimino
Si hio ni kirimino
Hio ni kirimino
Hiyo ni kirimino
Ita soldier kuna venye tumevamiwa
Na mabooster wote leo wamefagiwa
Manzi wangu wanadai kumkatia
Na ye ni chizi mazee!...anawapatia
Utamu wa pesa ni kujibebea
Ndo kirimino wasicheki nikipepea
Na magova wakizusha najitetea
Huezi nipata pale tao nikilegea
Manze mtaani zimeshika tukidegea
Red devils betslip nimeekelea
Ikaogelea nitaendelea kweli
Si hio ni kirimino
Hio ni kirimino
Si hio ni kirimino
Hio ni kirimino
Si hio ni kirimino
Hio ni kirimino
Si hio ni kirimino
Hio ni kirimino
Donny yeng na maweng El Matador
Nina mali toka Kenya hadi Mexico
Ka ni mchezo mi napenda El Classico
Ka ni pongi naiendesha kama bicyco
Ka ni simu mi nabonga kwa materminal
Na kwa meza nawameza kama animal
Wakilia nawatibu kama Panadol
Zikizidi naongeza paracetamol
Kaa umesota na umedunga we ni kirimino
Kaa una sponyo unaishi Githu we ni kirimino
Una haga na una sura we ni kirimino
Aaii!
Si hio ni kirimino
Hio ni kirimino
Si hio ni kirimino
Hiyo ni kirimino
Si hio ni kirimino
Hio ni kirimino
Si hio ni kirimino
Hio ni kirimino
Ochungulo Family watagwan gwan gwan watagwan
Ochungulo Family watagwan gwan gwan watagwan
Ochungulo Family watagwan gwan gwan watagwan
Ochungulo Family watagwan gwan gwan watagwan
Ochungulo Family watagwan gwan gwan watagwan
Written by: David Omondi, ELLY OMONDI, Nelson Liena