Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Okello Max
Okello Max
Performer
Julius Okelo McRymboh
Julius Okelo McRymboh
Background Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Julius Okelo McRymboh
Julius Okelo McRymboh
Songwriter
Simon Eugene Ywaya
Simon Eugene Ywaya
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Joseph "Giggz" Njenga
Joseph "Giggz" Njenga
Mastering Engineer

Lyrics

Taya
Naanzaje laumu
Love iliisha mapema
Mapenzi yashanidhulumu
Maisha haya ya sinema
Kwani tutakula mapenzi tu
Swali limenivua heshima
IPO siku nitafaulu
Na roho yangu mi nitaikinga
Pre Hook
Ni salama
Salama nawe
Napiga sala
Nainama
Lazma niiname
Mvunguni nafika
Yashanwagika
Na yatazoleka
Siezishindwa
So ni salama
Salama nawe
Salama
Hook
Yawa ang’omi jara
Hera olokore achaya
Abebina sina ubaya
Milkoda mogik kapokisimo
Taya
Ang’omi jara
Hera olokore achaya
Abebina sina ubaya
Milkoda mogik kapokisimo taya
Post hook
Kirisimna taya
Kirisimna taya
Kirisimna taya
Kirisimna taya
Asebedo kamanyo manyoge gima mari mari
To matin mayudo okoromi juu we ni baddie
Awino Mariana ona umefanya pii wang’a chwer
Ulinidanganya utakuwa pamoja koda nyaka chieng
Pre Hook
Ni salama
Salama nawe
Napiga sala
Nainama
Sharti niiname
Mvunguni nafika
Yashanwagika
Na yatazoleka
Siezishindwa
So ni salama
Salama nawe
Salama
Hook
Yawa ang’omi jara
Hera olokore achaya
Abebina sina ubaya
Milkoda mogik kapokisimo
Taya
Ang’omi jara
Hera olokore achaya
Abebina sina ubaya
Milkoda mogik kapokisimo taya
Post hook
Kirisimna taya
Kirisimna taya
Kirisimna taya
Kirisimna taya
Outro
Nicheze nawe mara ya mwisho
Mbele nyuma*2
Written by: Julius Okelo McRymboh, Simon Eugene Ywaya
instagramSharePathic_arrow_out